HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ni kweli usemalo. Ila kuna post nyingine adimu sana au zinapatikana taasisi moja tu. Hapo utakaa database hadi mtumishi afe au astaafu ndio nafasi ipatikane
 
Ni kweli usemalo. Ila kuna post nyingine adimu sana au zinapatikana taasisi moja tu. Hapo utakaa database hadi mtumishi afe au astaafu ndio nafasi ipatikane
ukishafanya post husika,,Endapo PSRS watahitaji mtu mwenye Qualification kama zako unakua wakwanza kuwa considered kabla ya wao kuitisha usaili watu wengine wagombanie..kwa maana nyingine unakua umejiekea akiba ya baadae mda wowote unalamba asali
 
Mwaka mmoja tu,Kuna watu walilamba asali toka data base wamekaa mwaka mmoja na nusu,kipindi kile data base Ina miezi 6,saiv hata miaka miwili wataita,mpk watu waishe data base kwa kozi husika,mfn hizi za LGAs na MDAs,saiv wanamiezi 6 bado wanaita freshers tu,siyo data base,na zoezi halijaisha bado
 
Ni kama umemaliza mkuu,
 
Yaani kiufupi tuna imani na PSRS
Kuna watu waliitwa mawakala humu wa psrs wakina Mwifwa na wenziwe, nadhani sasa hivi tunazungumza kauli moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…