Hongera sana mkuu ukawe mtumishi mwemaNilifanya oral mwaka Jana mwishoni majibu yalipotoka sikuchaguliwa nikafuatilia Kwa miezi mitatu nikaacha
Nikasahau kabisa
Lakini mwezi uliopita nimefanikiwa kupata kazi
Na mfano mtu kapata placement ya halmashauri,amesharipot tyr kazin,kapangiwa majukumu na mshahara kaanza kupata tayari,Mara ghafla multiple placement inatokea kapangiwa kwenye li taasisi zuri la asali wa nyuki wadogo (TANROAD),Sasa hapa atafanyaje?inawezekana kuacha halmashauri akaenda kwenye hiyo taasisi?Check number sio kigezo cha kutoajiriwa utumishi. Kinachofanyika ni kua. Mtumishi anapoandika cover letter yake lazima iwe endorsed na mwajiri wake wa sasa kuridhia kwamba, kama akipata, ataruhusiwa kuondoka.
Kuna utaratibu wa kuomba uhamisho kwenye utumishi wa umma. Huwezi kujipeleka huko kienyeji! Unaandika barua kwa katibu mkuu Utumishi, ukipitishia barua yako kwa mwajiri wako wa sasa. Hapa comments za mwajiri wako wa sasa ni za muhimu sana. Unaambatanisha barua yako ya placement mpya kuthibitisha kuwa nafasi tayari ipo na umeshaipata. Mwajiri wako mpya unampa nakala ili ajue kinachoendelea. Kama mwajiri wako wa sasa akisema hana kikwazo na anakuruhusu, bila shaka hiyo placement mpya utaipata. Lakini kama mwajiri wako wa sasa akisema anakuhitaji sana kwa sasa na asingependa uhame, uwezekano wa kuhama unakuwa ni mdogo (japo haufi kabisa). Nadhani uhamisho kutokana na double placement wanaweza kuruhusu kushughulikia, otherwise kwa kawaida uhamisho huwezi kuuomba kabla ya kuthibitishwa kazini.Na mfano mtu kapata placement ya halmashauri,amesharipot tyr kazin,kapangiwa majukumu na mshahara kaanza kupata tayari,Mara ghafla multiple placement inatokea kapangiwa kwenye li taasisi zuri la asali wa nyuki wadogo (TANROAD),Sasa hapa atafanyaje?inawezekana kuacha halmashauri akaenda kwenye hiyo taasisi?
Ana miezi kadhaa kwenye Asali.Naomba kuuliza: Mwasisi wa uzi huu pendwa Lerman3x naona hajaonekana hapa siku nyingi sana. Je alishalamba asali tayari? Kama kuna mtu anajua taarifa zake atujuze tafadhali. Nampongeza kwa uzi wake huu ambao bado unachanja mbuga!
Na mfano mtu kapata placement ya halmashauri,amesharipot tyr kazin,kapangiwa majukumu na mshahara kaanza kupata tayari,Mara ghafla multiple placement inatokea kapangiwa kwenye li taasisi zuri la asali wa nyuki wadogo (TANROAD),Sasa hapa atafanyaje?inawezekana kuacha halmashauri akaenda kwenye hiyo taasisi?
MDA- Ministry, Department, AgencyHivi kwenye Hizi ajira za MDAs na LGAs inatokeaje wengine wanaajiriwa wizarani wengine Halmashauri hii inatokeaje waheshimiwa??
Hakuna kigezo chochote wanachokitumia,unajikuta tu umepangiwa mzeeHivi kwenye Hizi ajira za MDAs na LGAs inatokeaje wengine wanaajiriwa wizarani wengine Halmashauri hii inatokeaje waheshimiwa??
Unajikuta tu umedondokea. Cha muhimu check no hayo mengine baadae yataji sort.Hivi kwenye Hizi ajira za MDAs na LGAs inatokeaje wengine wanaajiriwa wizarani wengine Halmashauri hii inatokeaje waheshimiwa??
Anhaa kumbe ni bahati yako tuHakuna kigezo chochote wanachokitumia,unajikuta tu umepangiwa mzee
Ndiyo ila hujanijibu kakaMDA- Ministry, Department, Agency
LGA- Local Government Authority
MDA ndio inabeba Wizara, Idara mbalimbali na Mashirika ya umma
LGA ndio hizo halmashauri
Duuuh mi nilijua Mambo ni rahic kumbe hatarKuna utaratibu wa kuomba uhamisho kwenye utumishi wa umma. Huwezi kujipeleka huko kienyeji! Unaandika barua kwa katibu mkuu Utumishi, ukipitishia barua yako kwa mwajiri wako wa sasa. Hapa comments za mwajiri wako wa sasa ni za muhimu sana. Unaambatanisha barua yako ya placement mpya kuthibitisha kuwa nafasi tayari ipo na umeshaipata. Mwajiri wako mpya unampa nakala ili ajue kinachoendelea. Kama mwajiri wako wa sasa akisema hana kikwazo na anakuruhusu, bila shaka hiyo placement mpya utaipata. Lakini kama mwajiri wako wa sasa akisema anakuhitaji sana kwa sasa na asingependa uhame, uwezekano wa kuhama unakuwa ni mdogo (japo haufi kabisa). Nadhani uhamisho kutokana na double placement wanaweza kuruhusu kushughulikia, otherwise kwa kawaida uhamisho huwezi kuuomba kabla ya kuthibitishwa kazini.
Wameshakujibu Mimi nimekufafanulia tu.Ndiyo ila hujanijibu kaka
hihihihihi😂😂😂Kumbe utumishi wanaruhusu kumcheka msaili ndani ya oral
Ofisi gani ya serikali inafanya kazi jumamosi .Jaman nilikuwa nauliza mnaoenda Fata BARUA za kazi DODOMA ofisi zipo wazi Hadi jumamosi?
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Ofisi gani ya serikali inafanya kazi jumamosi .
Mtumishi mpya wa umma mbona unatuaibisha?
[emoji28][emoji28]Ofisi gani ya serikali inafanya kazi jumamosi .
Mtumishi mpya wa umma mbona unatuaibisha?