middle east
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,309
- 1,695
Ni kweli aiseh hata kama umeona wanataka mtu mmoja kwenye tangazo la kazi la utumishi we apply jiandae vizuri upambane ufike oral/databaseKwa Reasearch yangu niliyoifanya nimegundua PSRS wanatumia Database kuajiri Incase ikatokea umebahatika kufika ORAL Mtangulize Mungu na ujibu vzuri maswali ukipata 50% umepass usivunjike moyo na idadi ya nafasi unayogombania kwa muda huo inaeza kuwa n nafasi 1 au 2 lakini mmeitwa watu 8,, ni mmoja wa watu nilionufaika na icho baada ya kufanya interview iliyokua ikihitaji watu 2 tukaitwa Oral watu 8 ..Tulikua na group letu la Whatsapp mpaka sasa watu wote 8 kwa awamu tatu tumeshpata Asali.
USHAURI WANGU KWENU AMBAO BADO MNAENDELEA KUISAKA ASALI
1. Apply Interview Zote zinazokuhusu regardless ya idadi ya watu wanaohitaji kwa mda huo isikukatishe tamaa focus kuingia database
2. Usikatishwe tamaa na mtu yeyote kuwa PSRS kuna connection au upendeleo juhudi zako binafsi zitakufanya upate asali, wako fair nime observe icho kitu
3. Fanya maandlzi vizuri consult watu waliokwisha fanya saili za kada yako husika upate past Paper maswali baadhi yanajirudia ili upate framework ya maswal na wap paku cement moore.
Nawatakia kila la kheri katika mapambano yakuisaka asali ,Natumai Mungu atawaona kila mtu kwa wakati wake kikubwa usikate tamaa ata iweje,,Tupo pamoja [emoji123][emoji123][emoji123]
All the Best Champs [emoji120]
Safi sana ila wa MOI hapo atawazidi kidogo mshahara, hongereni sanaWote tulilamba sehemu nzuri
2 MNH
1 OCRI
5 MOI
Mkuu kachukue barua yako Jumatatu hadi Ijumaa kati ya Saa mbili asubuhi na saa tisa unusu jioni.Jaman nilikuwa nauliza mnaoenda Fata BARUA za kazi DODOMA ofisi zipo wazi Hadi jumamosi?
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Wanacheka vizuri tuKumbe utumishi wanaruhusu kumcheka msaili ndani ya oral
Mkono mtupu haulambwi. Andika barua kwa katibu mkuu utumishi kupitia kwa mkurugenzi ambatanisha na copy ya Placement mpya usiweke kwenye file nenda moja kwa moja kwa HR wako tanguliza asali halafu MPE barua yako. Akisaini tu ibebe kimbia nayo Dodoma chap kwa katibu mkuu. Huku napo ukicheza inaweza kukaa miezi 6-8Na mfano mtu kapata placement ya halmashauri,amesharipot tyr kazin,kapangiwa majukumu na mshahara kaanza kupata tayari,Mara ghafla multiple placement inatokea kapangiwa kwenye li taasisi zuri la asali wa nyuki wadogo (TANROAD),Sasa hapa atafanyaje?inawezekana kuacha halmashauri akaenda kwenye hiyo taasisi?
Kwa mtazamo wangu ratio inafuatwa sema kinachofanya ongezeko ni kulingana kwa maksi, mf. Max ya mwisho 60 unakuta wenye hiyo 60 wako zaidi ya 20Kuna kada X mwezi wa tano walifanya interview dodoma MDA$LGA walikuwa wanahitaji watu 6 nachojiuliza kwenye oral waliingia watu 86 ilhali interview ya Taasisi X waliitaji watu 25 oral wakapita 75.
Je kuna muda utumishi hawatumii ratio yao walijipangia ?
Hivi hawa wanaofanya jmosi, inahesabika kama muda wa ziada au. Nami nashuhudia nimeona kwenye page ya taasisi Fulani wanafanya mpaka jmosiNyingi tu
Hi iv TAA airport security officer written interview wanatoa maswali gani?
Kabisaaaa tutamention mpaka wakubali kutupe kaziii.Mmeamkaje wazee wa "HOW"?
Vipi wazee wenzangu wa "MENTION" na NYINYI? Mpo GOOD?
Kila lenye HERI kwenu...Mungu atawajalia...mtatoboa tu wana, humu pazuri, tunapush sana PSRS...BRAVO wanaaaaaa...
Taasisi wanasema ZIPO FAIR, Ngoja waje wenye TAASISI ZAO wakupe Mbinu, sisi wengine wazee wa kuMENTION tu.Mwenye connection ya kazi za weighbridge, TANROADS Mkoa wowote. Naomba unicheki Pm tafadhari, Ahsante ya connection ipo.
Unatangaza MAJI ya KUNYWA yapo SIYO π π π π πMwenye connection ya kazi za weighbridge, TANROADS Mkoa wowote. Naomba unicheki Pm tafadhari, Ahsante ya connection ipo.
Vipi jamaa ???Taasisi wanasema ZIPO FAIR, Ngoja waje wenye TAASISI ZAO wakupe Mbinu, sisi wengine wazee wa kuMENTION tu.
Huko TANROADS wana KIBAO washatupa NAULI, huko hakuna STATUS wala nini, Bora PSRS Kuna APP vs WEB
Hii Taasisi Mama(rais) aitazame kwa jicho la tatu...Taasisi wanasema ZIPO FAIR, Ngoja waje wenye TAASISI ZAO wakupe Mbinu, sisi wengine wazee wa kuMENTION tu.
Huko TANROADS wana KIBAO washatupa NAULI, huko hakuna STATUS wala nini, Bora PSRS Kuna APP vs WEB
Ndiooooooooooooo.Sekretarieti ya Ajira weekend inaanza shusheni Pdf la motooo.