Uko sahihi hata mm nakuunga mkonoMimi ni mkubwa kwenu nimeajiriwa halmashauri tangia 2013. Kipindi naanza kazi TGD ilikuwa laki 5.3
Mwaka wa 10 kazini nimetimiza June 2023. Niko kwenye huu Uzi kwasababu nataka kwenda kwenye asali zaidi sioni future huku halmashauri nilipo.
Ahsante mkuu. Tatizo letu wazee sisi kwenye interview tunakutana na vijana wabichi damu inachemka lakini iko siku nitawakanda tu
Miradi huzalisha safari, semina, vikao etc, zote hizo ni pesa! wengine tunaongea kwa uzoefu na wengine wanaongea kwa kukaririshwa!!Miradi ya halmashauri haimnufaishi moja kwa moja afisa wa kawaida. Hao uliotaja hapa fani zao zinawawezesha kupata hela nje ya ofisi kupitia wateja wao. Wanaonufaika na miradi ni Engineers, Procurement, Accountant na kidogo wachumi kupitia 10%.
Perdiem nanenane
Hapa unakuta mko maafisa kilimo 20 wilaya nzima wanatakiwa wanne waende nanenane hii huwezi kuiita asali sababu ni chance. Lakini kwenye baadhi ya taasisi utakuta Transport allowance 10%, housing allowance 13%, sikukuu mnadaka bonance. Watumishi mnakuwa level moja bila kujali huyu HR au huyu dereva.
Mkuu unapajua halmashauri kweli?.hiyo miradi wanufaika ni wakubwa sio wale wafanyakazi wa kawaida, hizo safari utazipataje na wakati nafasi Moja Kuna wafanyakazi hata kumi?Miradi huzalisha safari, semina, vikao etc, zote hizo ni pesa! wengine tunaongea kwa uzoefu na wengine wanaongea kwa kukaririshwa!!
DaahMimi ni mkubwa kwenu nimeajiriwa halmashauri tangia 2013. Kipindi naanza kazi TGD ilikuwa laki 5.3
Mwaka wa 10 kazini nimetimiza June 2023. Niko kwenye huu Uzi kwasababu nataka kwenda kwenye asali zaidi sioni future huku halmashauri nilipo.
Hata mimi najaribu kumuelewa ila bado hasa anaposema miradi inaleta safari. Safari za wapi? Mnapewa Cruizer moja na dereva mnaingia humo maafisa 4. Safari labda za wahasibu wanapoenda kufunga hesabu Dodoma mwisho wa mwaka wa fedhaMkuu unapajua halmashauri kweli?.hiyo miradi wanufaika ni wakubwa sio wale wafanyakazi wa kawaida, hizo safari utazipataje na wakati nafasi Moja Kuna wafanyakazi hata kumi?
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Naona kama zamu yetu imefikiwa kwa izo pdf, IT wa sasa 👍mapema tutaongea lugha moja mkuuHongerenimliolamba asali.
IT WA SASA NI MTU WETU.
IT anacheza kama peleHongerenimliolamba asali.
IT WA SASA NI MTU WETU.
Huu Uzi naamin unafika mbali sana, wengi wanauona uko juu.Mikeka angalua Sikuhizi hivi inafuatana inaonekana labda kuna jambo limefanyika Sekretarieti ya Ajira
Bosi katumbuliwa nini🤭Mikeka angalua Sikuhizi hivi inafuatana inaonekana labda kuna jambo limefanyika Sekretarieti ya Ajira
😄😄😄😄Bosi katumbuliwa nini🤭
Yani unaingia church jobless,unatoka mtumishi wa umma,unyama ni mwingi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]siku izi watu wanalamba asali mpaka siku za ibada[emoji1787][emoji1787]
Paper Kafeli Mh.Mhagama aliyotoa !!!Mkandaji mkuu nae kakandwa