Kama akienda atunze tiketi ili akfanikiwa kurudi kwenye hiyo taasisi arudishiwe nauli yake lasivyo mwajiri ndo afuatilie mwenyeweIs this an actual problem au umekaa maghetoni ukajitungia. It’s very unlikely
Arudi PSRS, atasaidiwa. Ningekua mimi ningemwambia mwajiri ndio awasiliane na PSRS na sio kunisumbua mimi kusafiri huku na kule kwa uzembe (kama ni kweli) wa watu wengine
💥🚨☢️🚨THE THING IS AS SERIOUS AS A HEART ATTACK☢️🚨💥 FOR REAL kabisa.Is this an actual problem au umekaa maghetoni ukajitungia. It’s very unlikely
Arudi PSRS, atasaidiwa. Ningekua mimi ningemwambia mwajiri ndio awasiliane na PSRS na sio kunisumbua mimi kusafiri huku na kule kwa uzembe (kama ni kweli) wa watu wengine
Barua ipo cc, ps wizara utumishi, kamishna wa utumishi wa umma, na kwa top boss wa taasisiUkipata placement lazima barua yako pia iende kwa mwajiri kumtaarifu sasa tujiulize.
Barua yake ilienda kwa mwajiri au ilienda ya mtu mmoja?
Kama ilienda sidhani kama mwajiri ana mamlaka ya kumkataa mtumishi aliyepangiwa kama taratibu na vigezo vyote vimetimia
Let discuss the matter for now tusianze kutaja sana watu wata decode and possibly ku blacklist. IT IS ALL TRUE NOT FABRICATED🚨🚨🚨☢️☢️☢️Amepelekwa taasisi gani?
Ningemwashia moto huyo mwajiri aache kunizoea.Is this an actual problem au umekaa maghetoni ukajitungia. It’s very unlikely
Arudi PSRS, atasaidiwa. Ningekua mimi ningemwambia mwajiri ndio awasiliane na PSRS na sio kunisumbua mimi kusafiri huku na kule kwa uzembe (kama ni kweli) wa watu wengine
ampe barua kuwa hahitajiki kwasababu gani ndo aende nayo utumishiLet discuss the matter for now tusianze kutaja sana watu wata decode and possibly ku blacklist. IT IS ALL TRUE NOT FABRICATED🚨🚨🚨☢️☢️☢️
Ukiskia Dunia Ina watu wenye roho mbaya ndo wao mabosi wa hiyo sehemu,tangu lini watumishi wakazidi kwenye nchi yetu?mpk ofisi inamkataa,umeomba mmoja ukapewa wawili c Jambo la kumshukuru mno, au jamaa wameona atamaliza oxygen ukiangalia ofisi hailipi mshahara,mishahara yote inatoka hazina,aise jamaa ana nyota ya kukataliwa😁💥🚨☢️🚨THE THING IS AS SERIOUS AS A HEART ATTACK☢️🚨💥 FOR REAL kabisa.
Yupo Dar, been advised kuenda pale psrs kivukoni for a starter.
Mwajiri kaisha wasiliana na psrs. HR he said this, kaulizwa kama psrs wamerespond akasema haihitaji.
Kusumbuliwa prove inevitable hapo inabidi kujipinda tu kufuatilia though going to be hard and gonna cost an entire arm and leg.
Pdf la july 29 that much detail please. Let conceal identity(taasisi, kada,JINA)for now ILA NI KWELI HIYO SITUATION IS ON THE TABLE🚨🚨💥💥☢️ barua ya psrs anayo na ina ule mhuri kama nukta za vipofu
Kapambane mkuu!Nimefurahi sana vijana wengi wamepata kazi nipo Dodoma ila sijawahi kuhudhuria usaili tangu nimalize mwaka 2014, ila sasa hivi lazima nijitahidi ku-apply maana nimechoka kufanya private sector.
Inaonekana yeye mwajiri hana hatia. Amekua clear kwamba ali-request mtu moja tu. Psrs wakapeleka mtu zaidi ya tatu kwa post aliyoitaji mtu moja.Ningemwashia moto huyo mwajiri aache kunizoea.
Ananieleza mambo ya kiofisi yeye ndo ilibidi awasiliane na utumishi .
Karibu jiandae kusoma sana kuweka miguu kwenye beseni huko maswali ni define na mention, tafuta handouts na compendium usome usisahau slidesNimefurahi sana vijana wengi wamepata kazi nipo Dodoma ila sijawahi kuhudhuria usaili tangu nimalize mwaka 2014, ila sasa hivi lazima nijitahidi ku-apply maana nimechoka kufanya private sector.
Sawa mkuu
Huyo mtu kaomba instrument yoyote ya kupresent akirudi kule psrs Dom. Jamaa Hr akakaza . Muda wa kureport haujaexpire hadi ijumaa ya wiki hii ndo 14days zita lapseKiushauri labda huyo mtu angemwambia mwajiri ampe barua ya kuwajulisha psprs kwamba hawamuhitaji, kuliko kurudi hivihivi Bila uthibitisho wa mwajiri ya kwamba hawamuhitaji tena, maana psprs wanaweza kumwambia alichelewa kuriport kituo cha kazi ndio maana mwajiri amemkataa.maana katika hiyo barua ya mwajiri ndio ingekuwa na maelezo yote kwanini hawamuhitaji
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Duuuuh! au nisome tuition maana nimesahau kila kituKaribu jiandae kusoma sana kuweka miguu kwenye beseni huko maswali ni define na mention, tafuta handouts na compendium usome usisahau slides
😂😂😂😂 kumention na kudefineKaribu jiandae kusoma sana kuweka miguu kwenye beseni huko maswali ni define na mention, tafuta handouts na compendium usome usisahau slides
naam[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumention na kudefine
Kama upo dodoma njoo steve loquor area c nikupe mbinu za kuwakabiri wakandajiDuuuuh! au nisome tuition maana nimesahau kila kitu