HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
sema si mshahara atakua anaingiziwa
 
Arudi sekretalieti ya ajira (PSRS) alipopewa hiyo barua na kuwajulisha kuwa kule mliponipeleka wamenambia nafasi imejaa.

Psrs wakimzingua aende wizara ya utumishi, na wale ma officer wa chini wakimzingua aombe kuonana na katibu mkuu utumishi au kabla ajaenda awapigie wizara ya utumishi namba zao za huduma kwa wateja ni 026 216 0240

Wakzingua na huko aende kwa katibu mkuu kiongozi, maana hayo ni maisha asichukulie poa kabisa kuwakanda psrs sio jambo jepesi hivyi chance hazijirudii mara mbili
 
Daaah aisee. Ila bora alifanikiwa na TAWA ni bora kuliko Halmashauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…