HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Nimekuelewa mkuu. CLEAR kabisa. Upo vizuri sana.

Hata mimi sidhani yule HR amezengua on his own capacity, ofcourse i dont have a personal thing with the HR.

ARGUMENT
Sasa kama inatokea akawa over supplied than requested number,

Hiyo technically si kule utumishi wamepewa vibali na fungu la mshahara wamesha calculate sasa kama akimkubali huyo HR atapoteza nini? Implication ni kwamba kama amekataliwa hapo atapangwa kwingine maana fungu lake tayar au ipoje mkuu??? Au hiyo means hes just a loser??? Congressman
 
mie kuna jamaa yangu alipangiwa electrical engineer halmashauri.kufika kule akaambiwa hawaitaji electrical engineer wao walitaka civil.jamaa mpaka leo anafanya kazi za civil na ni electrical..
Jamaa bwege sana huyo.....kwanini alishindwa kurudi psrs?

Ila sio mbaya sana kwakua ameshapata cheki namba mwambie aandike barua kuomba kuhamia kwenye taasisi zenye asali tamu...mfano TPDC, EWURA, TANESCO akikosa huko aende hata VETA n.k ili aende huko akafanye kazi ya fani yeke aliyosomea (electrical engineer)

Ushauri kabla ajaandika barua ya kuhamia huko niliposema aende physical akaonane na wahusika kisha awaeleze taaluma yake na aulize kama kuna nafasi aombe kuhamia.
 
Basi kuna umuhimu ukipata placements tu uwai fasta , kuwa wamwisho mwisho inaweza kuwa shida, anyway mie naona jamaa arudi tu psrs watamueka pending ikitokea nafasi sehemu nyingine atapewa kipao mbele
 
Yani mpaka unapewa ile barua inakuwa imepitishwa kwa karibu kiongozi unamaana kibali cha ajira yako kilitolewa na ipo valid hapo anaemzingua ni huyo hr wa taasisi ndo anamkazia roho tu watu wabaya sana mzee ajaribu kumufata pia mkurugenzi wa taasisi yake aongee nae hapo akubali kumpokea maana mshahara hautoki mfukoni mwake
 
Kupokelewa mtu haiwezi kuharibu utendaji kazi mzee labda kama wanatetea per diem zao tu lakini kusema utendaji utahatibika hapo sio kweli na kusema Kwamba kwasasa Kuna taasisi ambayo imejitisheleza wafanyakazi labda ikulu tu huku kwingine hapana aseeeh na hapo wanaomkazia ni hapo HR hebu ajaribu kuongea na mkurugenzi wa taasisi amueleze na changamoto endapo akiikosa hiyo nafasi nafikiri atampokea tu
 
Ndo mambo Yale yakuchomekana kweny izo nafasi, sio bure HR anahila zake uyo
 
Kiongozi elewa hili kuwa hapo mwenye shida ni HR naongea kwa experience ya Hilo achana na ikama sijui nini ma hr wanakuwaga na mambo ya ajabu sana mzee
 
naona atakua anafatilia
 

Kaka mimi nina uzoefu wa kazi (Private sector) lakini pia nimefanya kazi za utawala japo mimi sio HR ila nimekuwa ni overseer wa evalaution wa majukumu yao.

Kumbuka kuover suppliy wafanyakazi kunapunguza utendaji kazi (kutegeana kunatokea hata matumizi ya resources yanakuwa makubwa).

Kumbuka hiyo Ikama (scheme) inakuwa imepitishwa na Menejimenti ya Taasisi kwa vikao halali na minutes zake zina sahihi kabisa ya Mkurugenzi hivyo Hr yeye anapewa maelekezo ya kuisimamia na kuifuta kuhakikisha utekelezaji wake umefuatwa.

Katika kufanya performance evaluation wakikuta kuna kasoro za kiutendaji lazima watarudi kwenye Ikama kama mwongozo na hapo moja kwa moja HR ndio atawajibishwa kwa kutosimamia.

Solution ni wewe Mwajiriwa mpya kuwahi kuripoti kituoni, yani hata kama upo busy kisi gani bora utafute nauli uende mapema kuripoti hapo utakuwa booked.

Sio unakaa week hapo unakuta wenzako waliowahi ndio wamechukuliwa ma wewe uanrudishwa utumishi kupigwa vumbi mtaani hadi pdf nyingine ije itoke mzee lazima uwe umeshasanda mtaa.
 

Sekretarieti ya Ajira haihusiki na mishahara (Fungu/tengo).
 
Yani kibali hata kama waliomba watu wawili wakaja 4 ni sawa kwakua wote walioletwa Wana vigezo vinavyohitaji lakini ma hr wanakunja tu aongee na mkurugenzi mkuu wa taasisi halafu aone kama atamkataa
So far amemchek Hr tu hajaonana na Mkurugenzi.
Barua nakala imeanza na PS UTUMISHI=> KATIBU (TUME YA UTUMISHI WA UMMA) Ikaisha na MKURUGENZI WA TAASISI
Ngoja kesho apite utumishi kivukoni alafu if necessary amuone mkurugenzi na lastly aendelee kule Dom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…