mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
Daah hii inatupa faraja sana watafutaji,hongera sana afsaDah hatimae na mie nimelamba asali, baada ya mkeka wa Kaimu Katibu kucheka
usaili nilifanya mwezi wa Kwanza mwaka huu (2023) nikasahau na kusahau maana nilijua ndio basi tena sababu katika taasisi niliyoomba ina kamfumo flani hivi ka wenyewe kwa wenyewe kupeana michongo ila sasa ona jinsi Mungu alivyo mkuu mkeka umetoka nami nimo
Ile Napeleka barua, ofisi nzima wananiangalia na kuniuliza maswali ya uongo na ukweli, nikasema Mungu katenda miujiza sifa na shukrani zimrejee yeye, maana katika waliopenya ni wawili tu ndio hatukuwa kwenye ofisi hiyo
Wengine wote waliobakia ama walikuwa wanajitolea au walikuwa wana mikataba hapo hapo taasisini kwa muda mrefu tu
Acheni Mungu aitwe Mungu akiamua jambo hakuna wa kuzuia litatimia tu kwa wakati wake.
Background: niliomba mara saba nafasi mbali mbali za ajira portal kwenye taasisi mbalimbali ikiwemo MDA na LGA,
moja sikwenda kwa sababu ya kukosa nauli, mbili nilinasa kwenye written, mbili nilifika oral na ndio moja nimeitwa, na mbili bado pending kwenye mfumo nasubiri kuitwa kwa ajili ya usaili ila ndio hivyo tena mkeka ushatiki😁
Na mpaka kufanikisha Dodoma nimeenda mara 4 na simjui hata sekretari wa utumishi, ni Mungu tu kunipigania na maombi kama yote
Tusikate tamaa friends, tuendelee kupambana.
Nakushauri aende kwa mkurugenzi wa taasisi aongee nae mzee atakubaliwa hiyo utumishi ataenda mbali kama itashindikana kwa mkurugenzi Hilo bado lipo ndani ya uwezo wa mkurugenziSo far amemchek Hr tu hajaonana na Mkurugenzi.
Barua nakala imeanza na PS UTUMISHI=> KATIBU (TUME YA UTUMISHI WA UMMA) Ikaisha na MKURUGENZI WA TAASISI
Ngoja kesho apite utumishi kivukoni alafu if necessary amuone mkurugenzi na lastly aendelee kule Dom
Mwakani tuvute Subaru mzee😂😂😂😂😂halafu unaiandika you overtake we race😂Jobless mkipata kazi kumbukeni kufanya saving Kwa ajiri ya uwekezaji badae sio ukipata mshahara unatumia unaisha, Epuka pombe na bia zitakumalizia Hela pia muombe mungu akulinde peke Yako huwezi.
Msiogope kupangiwa nje na town huwa naona humu mnaponda sana nakaa kimya hamjui kitu maisha ya mjini ni gharama sana kuliko huko mnakokuponda mfano Kuna WILAYA hazipo mjini ila Zina huduma zote, mfano maji,umeme, mtandao, hospital, na gharama za maisha zipo chini kiasi mfano nyumba Zima yenye vyumba 3 kimoja master, na jiko + public toilet full tiles na umeme na kila kitu Kodi na laki tu Kwa mwezi hiyo nyumba Kwa Dar utalipa laki hata 5 wazeee, nyumba yenye vyumba viwili inakua kama 75k tu, chumba(self) na sebule 30 Kwa Dar ungelipa 150k
Upande wa vyakula asili kama kuku unapata Kwa 10k tu na nyanya za buku zinaweza zikakuozea ndani 🤣🤣🤣
Nawashauli msichague mjini tu hakuna ishu huko Zaid ya club na kumbi za starehe hamtaweza kusave Hela na kununua gari pila mkopo
Mtunze afya pia hakuna Raha ya Hela ikiwa unaumwa
Cha mwisho naomba mnishauri gari la kununua🤣🤣( natania hapa Sina Hela)
🤣🤣🤣🤣 wazee wa subaru🙌Mwakani tuvute Subaru mzee😂😂😂😂😂halafu unaiandika you overtake we race😂
Kuna taasisi zinapelekewa watumishi hata bila kuomba hasa zile ambazo ni private lakini zinashare na serikaliHapa kuna uwezekano mkubwa PSRS ndio wamefanya makosa kwa bahati mbaya!! Ujue PSRS wanafanyisha usaili na placement kwa niaba ya mwajiri kwenye utumishi wa umma!! Kwa hiyo lazima wapeleke waajiriwa kama mwajiri alivyohitaji na si vinginevyo!! Kama mwajiri alihitaji mmoja na kuna ushahidi kuwa alihitaji mmoja huwezi ukampa wawili akawapokea wote, hana bajeti hiyo!!
Ila huyo aliyepatwa na jambo hilo lazima atapewa placement mahali pengine nafasi itakapopatikana kulingana na sifa zake, kutoka kwenye data base!! Ni suala la muda tu!!
Hatukubaligi kupitwa na alteza aseeh😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 wazee wa subaru🙌
Hongera sana mkuu ukawe mtumishi mchapa kazi kweli kwelDah hatimae na mie nimelamba asali, baada ya mkeka wa Kaimu Katibu kucheka
usaili nilifanya mwezi wa Kwanza mwaka huu (2023) nikasahau na kusahau maana nilijua ndio basi tena sababu katika taasisi niliyoomba ina kamfumo flani hivi ka wenyewe kwa wenyewe kupeana michongo ila sasa ona jinsi Mungu alivyo mkuu mkeka umetoka nami nimo
Ile Napeleka barua, ofisi nzima wananiangalia na kuniuliza maswali ya uongo na ukweli, nikasema Mungu katenda miujiza sifa na shukrani zimrejee yeye, maana katika waliopenya ni wawili tu ndio hatukuwa kwenye ofisi hiyo
Wengine wote waliobakia ama walikuwa wanajitolea au walikuwa wana mikataba hapo hapo taasisini kwa muda mrefu tu
Acheni Mungu aitwe Mungu akiamua jambo hakuna wa kuzuia litatimia tu kwa wakati wake.
Background: niliomba mara saba nafasi mbali mbali za ajira portal kwenye taasisi mbalimbali ikiwemo MDA na LGA,
moja sikwenda kwa sababu ya kukosa nauli, mbili nilinasa kwenye written, mbili nilifika oral na ndio moja nimeitwa, na mbili bado pending kwenye mfumo nasubiri kuitwa kwa ajili ya usaili ila ndio hivyo tena mkeka ushatiki😁
Na mpaka kufanikisha Dodoma nimeenda mara 4 na simjui hata sekretari wa utumishi, ni Mungu tu kunipigania na maombi kama yote
Tusikate tamaa friends, tuendelee kupambana.
HahahahaHatukubaligi kupitwa na alteza aseeh😂😂😂😂
Hongera sana. Ukajitahidi kukumbuka kuwa mtumishi mwema. Ushuhuda wako utawatia moyo sana wanaosubiri placement!!Dah hatimae na mie nimelamba asali, baada ya mkeka wa Kaimu Katibu kucheka
usaili nilifanya mwezi wa Kwanza mwaka huu (2023) nikasahau na kusahau maana nilijua ndio basi tena sababu katika taasisi niliyoomba ina kamfumo flani hivi ka wenyewe kwa wenyewe kupeana michongo ila sasa ona jinsi Mungu alivyo mkuu mkeka umetoka nami nimo
Ile Napeleka barua, ofisi nzima wananiangalia na kuniuliza maswali ya uongo na ukweli, nikasema Mungu katenda miujiza sifa na shukrani zimrejee yeye, maana katika waliopenya ni wawili tu ndio hatukuwa kwenye ofisi hiyo
Wengine wote waliobakia ama walikuwa wanajitolea au walikuwa wana mikataba hapo hapo taasisini kwa muda mrefu tu
Acheni Mungu aitwe Mungu akiamua jambo hakuna wa kuzuia litatimia tu kwa wakati wake.
Background: niliomba mara saba nafasi mbali mbali za ajira portal kwenye taasisi mbalimbali ikiwemo MDA na LGA,
moja sikwenda kwa sababu ya kukosa nauli, mbili nilinasa kwenye written, mbili nilifika oral na ndio moja nimeitwa, na mbili bado pending kwenye mfumo nasubiri kuitwa kwa ajili ya usaili ila ndio hivyo tena mkeka ushatiki😁
Na mpaka kufanikisha Dodoma nimeenda mara 4 na simjui hata sekretari wa utumishi, ni Mungu tu kunipigania na maombi kama yote
Tusikate tamaa friends, tuendelee kupambana.
Na kweli pamoja sanaDaah hii inatupa faraja sana watafutaji,hongera sana afsa
Mwakani lazima kieleweke🤣🤣Mwakani tuvute Subaru mzee😂😂😂😂😂halafu unaiandika you overtake we race😂
Hongera mkuuDah hatimae na mie nimelamba asali, baada ya mkeka wa Kaimu Katibu kucheka
usaili nilifanya mwezi wa Kwanza mwaka huu (2023) nikasahau na kusahau maana nilijua ndio basi tena sababu katika taasisi niliyoomba ina kamfumo flani hivi ka wenyewe kwa wenyewe kupeana michongo ila sasa ona jinsi Mungu alivyo mkuu mkeka umetoka nami nimo
Ile Napeleka barua, ofisi nzima wananiangalia na kuniuliza maswali ya uongo na ukweli, nikasema Mungu katenda miujiza sifa na shukrani zimrejee yeye, maana katika waliopenya ni wawili tu ndio hatukuwa kwenye ofisi hiyo
Wengine wote waliobakia ama walikuwa wanajitolea au walikuwa wana mikataba hapo hapo taasisini kwa muda mrefu tu
Acheni Mungu aitwe Mungu akiamua jambo hakuna wa kuzuia litatimia tu kwa wakati wake.
Background: niliomba mara saba nafasi mbali mbali za ajira portal kwenye taasisi mbalimbali ikiwemo MDA na LGA,
moja sikwenda kwa sababu ya kukosa nauli, mbili nilinasa kwenye written, mbili nilifika oral na ndio moja nimeitwa, na mbili bado pending kwenye mfumo nasubiri kuitwa kwa ajili ya usaili ila ndio hivyo tena mkeka ushatiki😁
Na mpaka kufanikisha Dodoma nimeenda mara 4 na simjui hata sekretari wa utumishi, ni Mungu tu kunipigania na maombi kama yote
Tusikate tamaa friends, tuendelee kupambana.
IT atupe pdf la nanenane[emoji91][emoji91]IT muda unazidi kwenda pls
😂😂😂😂Tunanunua vilivyotutesa kwanzaMwakani lazima kieleweke🤣🤣
Uhakika😂😂😂Mzee wa sabaru wizy [emoji23][emoji23]
Umepotea sana mkuu...Wazee wa asali mpo[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jobless mkipata kazi kumbukeni kufanya saving Kwa ajiri ya uwekezaji badae sio ukipata mshahara unatumia unaisha, Epuka pombe na bia zitakumalizia Hela pia muombe mungu akulinde peke Yako huwezi.
Msiogope kupangiwa nje na town huwa naona humu mnaponda sana nakaa kimya hamjui kitu maisha ya mjini ni gharama sana kuliko huko mnakokuponda mfano Kuna WILAYA hazipo mjini ila Zina huduma zote, mfano maji,umeme, mtandao, hospital, na gharama za maisha zipo chini kiasi mfano nyumba Zima yenye vyumba 3 kimoja master, na jiko + public toilet full tiles na umeme na kila kitu Kodi na laki tu Kwa mwezi hiyo nyumba Kwa Dar utalipa laki hata 5 wazeee, nyumba yenye vyumba viwili inakua kama 75k tu, chumba(self) na sebule 30 Kwa Dar ungelipa 150k
Upande wa vyakula asili kama kuku unapata Kwa 10k tu na nyanya za buku zinaweza zikakuozea ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nawashauli msichague mjini tu hakuna ishu huko Zaid ya club na kumbi za starehe hamtaweza kusave Hela na kununua gari pila mkopo
Mtunze afya pia hakuna Raha ya Hela ikiwa unaumwa
Cha mwisho naomba mnishauri gari la kununua[emoji1787][emoji1787]( natania hapa Sina Hela)
Tulizimiss sana shuhuda kama hizi, mikeka minne mfululizo wewe ndio umetukoholesha hili kohozi(kupongeza), wengine sijui hawapo humu....Dah hatimae na mie nimelamba asali, baada ya mkeka wa Kaimu Katibu kucheka
usaili nilifanya mwezi wa Kwanza mwaka huu (2023) nikasahau na kusahau maana nilijua ndio basi tena sababu katika taasisi niliyoomba ina kamfumo flani hivi ka wenyewe kwa wenyewe kupeana michongo ila sasa ona jinsi Mungu alivyo mkuu mkeka umetoka nami nimo
Ile Napeleka barua, ofisi nzima wananiangalia na kuniuliza maswali ya uongo na ukweli, nikasema Mungu katenda miujiza sifa na shukrani zimrejee yeye, maana katika waliopenya ni wawili tu ndio hatukuwa kwenye ofisi hiyo
Wengine wote waliobakia ama walikuwa wanajitolea au walikuwa wana mikataba hapo hapo taasisini kwa muda mrefu tu
Acheni Mungu aitwe Mungu akiamua jambo hakuna wa kuzuia litatimia tu kwa wakati wake.
Background: niliomba mara saba nafasi mbali mbali za ajira portal kwenye taasisi mbalimbali ikiwemo MDA na LGA,
moja sikwenda kwa sababu ya kukosa nauli, mbili nilinasa kwenye written, mbili nilifika oral na ndio moja nimeitwa, na mbili bado pending kwenye mfumo nasubiri kuitwa kwa ajili ya usaili ila ndio hivyo tena mkeka ushatiki[emoji16]