HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
IT edit hiyo pdf ikae mkaoo tunaisubiriiii saa 4 imefikaaa! πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ IT ni mtu wetuu
 
Hiyo barua uliyopeleka ni Ile ya Utuumishi eti? Hongera sana Mwanangu Mungu Akusimmamie.
 
sipati picha mkeka utakaoshuka.sio kwa kimya hiki 🀣 🀣
Nasikia IT kagoma huko kutoa vi pdf vya page mbili anataka akiachia kitu kiwe kitu kwelikwelπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
IT huwa anashinda dakika za majeruhii πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ngoja tuone leo.

Akizingua dirisha dogo tunamtemaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…