Nikiwa naanza kazi 2013, TGS D laki 5.3 ikikatwa hapo unabakiwa na laki 4 na point. Hapo nimepanga chumba sebule elfu 80,000/=Mwakani tuvute Subaru mzee๐๐๐๐๐halafu unaiandika you overtake we race๐
[emoji23][emoji23] pole sana hiyo laki nne ni hela ya kodi kwa sasa kama unafamilia tabu iko pale pale BTW kujiongeza muhimu sana aisee.Nikiwa naanza kazi 2013, TGS D laki 5.3 ikikatwa hapo unabakiwa na laki 4 na point. Hapo nimepanga chumba sebule elfu 80,000/=
Maisha yalikuwa magumu sana ila mshua Kikwete alikuwa anaongeza laki 1 kila mwaka wa fedha. Kwahiyo Mwaka 2014, TGS D= 630000
Mwaka 2015, 710000. Mwamba Magufuli aliisimamisha hapo hapo kwa miaka 6 hadi anakufa
Kweli mkuu mimi kwa sasa matumizi yangu ya LAZIMA yanavuka TGS D ya sasa lakini ndio hiyo nataka kuipambania niachane na private sector japo mshahara mkubwa. Nikiichukua TGS D nikalipa ada, kodi, chakula na usafiri naingia kwenye negative[emoji23][emoji23][emoji23] pole sana hiyo laki nne ni hela ya kodi kwa sasa kama unafamilia tabu iko pale pale BTW kujiongeza muhimu sana aisee.
Mkoa ganiKweli mkuu mimi kwa sasa matumizi yangu ya LAZIMA yanavuka TGS D ya sasa lakini ndio hiyo nataka kuipambania niachane na private sector japo mshahara mkubwa. Nikiichukua TGS D nikalipa ada, kodi, chakula na usafiri naingia kwenye negative[emoji23]
Dodoma mkuuMkoa gani
Daah kwa dodoma TGS D na familia juu itakubidi uishi kwa discipline sana, naijua vizuri dodoma ndio station yangu ya kazi japo situlii sehemu moja, Nyumba za bei ndogo angalau ni msalato, nkuhungu, nzuguni, ndachi na mkonze shule nafuu kuna Rhema, east Africa, Rainbow etc, hiyo TGS D unaweza kuishi nayo ni discipline tu.Dodoma mkuu
Sina uhakika wa kupangiwa dodoma kama nikipata mkuu japo umenifungua kwenye shule na nyumba hapo ngoja nifanye research hela zangu zinapepea sana. Na dar vipi mkuu una idea ya shule za bei kitonga kidogo ?Daah kwa dodoma TGS D na familia juu itakubidi uishi kwa discipline sana, naijua vizuri dodoma ndio station yangu ya kazi japo situlii sehemu moja, Nyumba za bei ndogo angalau ni msalato, nkuhungu, nzuguni, ndachi na mkonze shule nafuu kuna Rhema, east Africa, Rainbow etc, hiyo TGS D unaweza kuishi nayo ni discipline tu.
Sina uhakika sana, Wilaya gani aiseeSina uhakika wa kupangiwa dodoma kama nikipata mkuu japo umenifungua kwenye shule na nyumba hapo ngoja nifanye research hela zangu zinapepea sana. Na dar vipi mkuu una idea ya shule za bei kitonga kidogo ?
ilala kuanzia viggt mpaka chanika chanika ya primarySina uhakika sana, Wilaya gani aisee
Ebu cheki na Heritage schools banana kuna ABC schools mitaa hiyo hiyo kama unaenda kinyerezi alafu kuna theresa nini sijui uliza uliza mkuu ila kuna shule nyingi sana hiyo bara bara mpaka pugu pugu pale juu kuna shule moja nzuri sana nimesahau jina.ilala kuanzia viggt mpaka chanika chanika ya primary
Ahsante sana chief [emoji120]Ebu cheki na Heritage schools banana kuna ABC schools mitaa hiyo hiyo kama unaenda kinyerezi alafu kuna theresa nini sijui uliza uliza mkuu ila kuna shule nyingi sana hiyo bara bara mpaka pugu pugu pale juu kuna shule moja nzuri sana nimesahau jina.
Bora hata nyinyi mmesain,sisi Hali Tete,sisi tuliopangiwa wizara X,watu tumeenda na details zote,hawakuchukua,picha linaanza unatoka kigoma mpk Dodoma,unaenda kuripoti tu wanaangalia jina alaf wanakwambia acha copy ya Cheti Cha form 4 na 6 kuvihakiki Necta,tusubiri majibu,alafu utarudi siku tukikupigia simu,siku ya kuja kujaza mkataba,Yan dk 5 tu unarud Tena kigoma,kusubir simu,mpk leo karib mwezi hakuna,simu bado,wapo slow kinomaWakuu ukishasaini zile fomu fomu zote wanatumia mda Gani kukuita kazini na kukuambia kituo....(njaa mbaya nyieee)
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
hongera mkuu kwa kuikimbia njaaa ,nimwendo wa kupauka kwa jua la mtaaniWakuu ukishasaini zile fomu fomu zote wanatumia mda Gani kukuita kazini na kukuambia kituo....(njaa mbaya nyieee)
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
aiseeh poleni champ, sema ni suala la muda mkuu .mtaitwa kazini rasmiBora hata nyinyi mmesain,sisi Hali Tete,sisi tuliopangiwa wizara X,watu tumeenda na details zote,hawakuchukua,picha linaanza unatoka kigoma mpk Dodoma,unaenda kuripoti tu wanaangalia jina alaf wanakwambia acha copy ya Cheti Cha form 4 na 6 kuvihakiki Necta,tusubiri majibu,alafu utarudi siku tukikupigia simu,siku ya kuja kujaza mkataba,Yan dk 5 tu unarud Tena kigoma,kusubir simu,mpk leo karib mwezi hakuna,simu bado,wapo slow kinoma
Ndugu wee mulemule kama hujaanza kazi huna hakika bado ni kuomba Mungu tuhongera mkuu kwa kuikimbia njaaa ,nimwendo wa kupauka kwa jua la mtaani
Au wanafanya vettingBora hata nyinyi mmesain,sisi Hali Tete,sisi tuliopangiwa wizara X,watu tumeenda na details zote,hawakuchukua,picha linaanza unatoka kigoma mpk Dodoma,unaenda kuripoti tu wanaangalia jina alaf wanakwambia acha copy ya Cheti Cha form 4 na 6 kuvihakiki Necta,tusubiri majibu,alafu utarudi siku tukikupigia simu,siku ya kuja kujaza mkataba,Yan dk 5 tu unarud Tena kigoma,kusubir simu,mpk leo karib mwezi hakuna,simu bado,wapo slow kinoma
Humu kwaoooo haoo๐๐๐ wamestafaafu ujobless majuz tuu.Jamani jamani uzi upo kasi Sana watu tunaomba tupate placement wadau wanazungumzia mikataba na kuanza kazi aisee
Inategemeana na taasisi inawahitaji kwa uharaka au vipi kwamfano kwenye hospital huwa haipiti week mbili lazima mnakuwa kazini lakini taasisi zingine kama mmeshajaza detail zote na kuacha account number mnaweza wekewa salary hata kabla hamjaripotiWakuu ukishasaini zile fomu fomu zote wanatumia mda Gani kukuita kazini na kukuambia kituo....(njaa mbaya nyieee)
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app