HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mi sioni haja ya kutoa mikeka nusu nusu , hizo kazi na nafasi wanazotangaza inakuwa ishajulikana wanatakiwa katika taasisi zipi na kwa idadi ipi , majina ya selectees Kwa hizo nafasi baada ya interviews yatolewe yote faster watu wakareport maeneo husika ,ni ujinga kupotezea watu muda , hili ndio linalowachukiza watu kuhusu huu mfumo wa PSRS

Honestly speaking ,hii tabia ikomeshwe mara moja, inakera sana ,na ni indication ya lack of coordination na ufanisi kwenye huu mchakato .
 
Wanachelewa kweli,lakin mkuu Kwa sisi watoto wa masikini,ni heri waendelee wao wao na michakato ya ajira

Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
 
Na vipi mfn mtu Cheti Cha form 4 kina majina mawili(James John),alaf Cha certificate na diploma kina majina matatu(James kihanda John) Kuna jina katikati limeongezeka,hii nayo imekaaje mkuu?
 
Na vipi mfn mtu Cheti Cha form 4 kina majina mawili(James John),alaf Cha certificate na diploma kina majina matatu(James kihanda John) Kuna jina katikati limeongezeka,hii nayo imekaaje mkuu?
Ndio ukatafute hiyo deedpol ya kuthibitisha kwamba we ni mtu mmoja na hayo ni majina yako yote

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hii deedpol naipata WAP ndugu? Mahakamani au hata kwa mwanasheria binafsi? Na gharama yake yaweza kuwa sh ngap?
Gharama yake elfu 32, hatua ya kwanza nenda kwa mwanasheria atakuandalia hiyo document na kuisaini, hapo kwa mwanasheria inategemea mwingine atakudai elfu 10 mwingine 20 inategemea na mwanasheria wako, utaipeleka wizara ya ardhi pale kivukoni kitengo cha kiapo, utajaza fomu utapewa control namba utaenda kulipia benk baada ya wiki Moja utaenda kuifuata, hapo case closed

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
kila tangazo huku private sector lina hiyo NB:WOMEN ARE HIGH ENCOURAGED TO APPLY ,aiseeh wanaume kazi tunayo
 
IT inabidi ushushe pdf wakupata wapate watoe shuhuda ili wasiopata wapate molali wa kuendelea kusubiri zamu yao

Jobless tukiona tuliokuwa nao wanatoa shuhuda za kupata placement tunapata nguvu nyingi na uvumilivu zaidi.

PSRS REKEBISHENI INTERVAL FROM ORAL TO PLACEMENT MNAUMIZA VIJANA.

IT tuwekeeπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…