HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kuna pdf mbili huko
Moja ina page 7 na ya pili page 3
zimetoka muda huu saa sita na dakika zake.
IT anaendelea kuupiga mwingi. Mlio bahatika leteni shuhuda.

Kuna watu mmelala jobless ila kesho mkiamka utakuta upo kwenye swimming pool la asali[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hatimae jana nmelala jobless,ila nmeamka nmejikuta mtumishi,database inafanya kazi,nlifanikiwa kuingia oral 3,ya kwanza nlikutana na ndoige,nkabahatika tena kufanya oral mbili za mda na lga,ila leo nmekuta nmepata taasisi nlofanya interview mara ya kwanza,kupitia database.
Tusikate tamaa,wakati wa Mungu ni sahihi
Status: Selected for oral web na app
 
Hongera sana
 
Hongera sana mkuu, wakati wako wa kuwa mtumishi umefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…