HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Big up brother...hiyo uliofaulu unasema ilikuwa database mean oral yake ulipiga mwezi wa ngap masta
 
Hongera Sana , Mkuu! Kwa kulamba asali.
 
Hongera Sana mkuu
 
Status zina maana kubwa sana sema watu wabishi kinoma Hilo sisi tulishamaliza kuongea kuanzia mwaka Jana ile ni system sasa kuniambia eti imejiandika tu kuwa selected for oral kwanini isikuandikie fail kama inajiandika tu inapozidiwa
 
Status zina maana kubwa sana sema watu wabishi kinoma Hilo sisi tulishamaliza kuongea kuanzia mwaka Jana ile ni system sasa kuniambia eti imejiandika tu kuwa selected for oral kwanini isikuandikie fail kama inajiandika tu inapozidiwa
Wenye busara tunaelewa kuwa status zina maana,hakuna mtu hata mmoja iliyomuandikia not selected for oral after kufanya oral na akapata placement.
 

Bila kumsahau +++Chauchande
 
D
Hao wamefanya uhuni!! kuna watu wana roho za kutu utafikiri atakulipa mshahara toka mfukoni mwake!! Unajua ukishajaza fomu siku hiyo hiyo inahesabika umeshaanza kazi, na unaonesha na akaunti yako ya benki! Kwa hiyo hata kabla hawajakupigia simu kukuita, mwezi ukiisha unapokea mshahara huko huko nyumbani. utakuta akaunti yako imeshashiba tayari!! Lakini kwa walivyowafanyia ni maumivu makali sana, japo hayawezi kulingana na yale ya kusubiria pdf ambayo huna uhakika nayo!!
 
kweli aixee miezi 11 hiyo ilibaki mwezi mmoja tu Database expire.
God's Perfect Timing.
Hakuna mwenye siri kuhusu inshu hiyo mwaka 1 expire...Sasa hivi kuna ugumu wa maisha na wao wanajua .....ukipitia maelezo yake vinzuri mlamba asali anakwambia amepata kitengo alichofanya oral mara 1 review miezi ya nyuma wa mwenzi wa tisa...kumbuka kuna kauli ya Mh.Jenista mhagama aliitoa ....
 
Ha
Na vipi mfn mtu Cheti Cha form 4 kina majina mawili(James John),alaf Cha certificate na diploma kina majina matatu(James kihanda John) Kuna jina katikati limeongezeka,hii nayo imekaaje mkuu?
Hapo deed poll inakuhusu!! Ila deed mbona ni fasta tu pale wizara ya ardhi!! Ndani ya siku mbili tatu kitu tayari!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…