HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mchapa kazi
 
Na kama Kuna utofauti Kati ya cheti cha kuzaliwa na vya shule Kuna haja ya hyo dedpol?
Hapo njia rahisi ni kurekebisha majina kwenye cheti cha kuzaliwa ili yaendane na ya kwenye cheti!! Ujue majina kwenye cheti cha shule huwa hayawezi kubadilishwa!!
 
Hii deedpol naipata WAP ndugu? Mahakamani au hata kwa mwanasheria binafsi? Na gharama yake yaweza kuwa sh ngap?
Mchakato wa kupata deed poll unaanzia kwa wakili wa kujitegemea au mahakamani. Hao ndio wanaokuandalia deed Poll. Hilo ni tukio la madakika tu, na ni hela yako tu. Gharama yake inategemea na waklili lakini mara nyin gi huanzia 30,000/= hadi 50,000/=/ Baada ya hapo unaenda kuisajili hiyo document serikalini kupitia wizara ya ardhi. Hapo ardhi kuna gharama pia na kama sikosei ni kama sh 30,000/= pia (sina uhakika kwa sasa). Hapo inabidi uwe mpole maana itachukua muda kidogo ni kati ya siku 3 na wiki mbili. Ukitumia dalali (si rasmi) inaweza kuwa tayari ndani ya siku moja au mbili, (lakini hayo ni mambo ya bongo, wahanga ni wale wanaoitaka kwa haraka, vinginevyo unawaachia hapo hata wakae mwezi mmoja mwisho wa siku itatoka tu). Unapoenda kwa wakili/mahakamani nenda picha zako za passport. Andaa documents zako tatu zipeleke ardhi.
 
Hii deedpol naipata WAP ndugu? Mahakamani au hata kwa mwanasheria binafsi? Na gharama yake yaweza kuwa sh ngap?
Mchakato wa kupata deed poll unaanzia kwa wakili wa kujitegemea au mahakamani. Hao ndio wanaokuandalia deed Poll. Hilo ni tukio la madakika tu, na ni hela yako tu. Gharama yake inategemea na waklili lakini mara nyin gi huanzia 30,000/= hadi 50,000/=/ Baada ya hapo unaenda kuisajili hiyo document serikalini kupitia wizara ya ardhi. Hapo ardhi kuna gharama pia na kama sikosei ni kama sh 30,000/= pia (sina uhakika kwa sasa). Hapo inabidi uwe mpole maana itachukua muda kidogo ni kati ya siku 3 na wiki mbili. Ukitumia dalali (si rasmi) inaweza kuwa tayari ndani ya siku moja au mbili, (lakini hayo ni mambo ya bongo, wahanga ni wale wanaoitaka kwa haraka, vinginevyo unawaachia hapo hata wakae mwezi mmoja mwisho wa siku itatoka tu).​
 
Hongera sana mpambanaji!! Hatimaye Mungu aliye mwaminifu amekufanikisha!! Hii ni meza inayozunguka, ni suala la muda tu kwa wanaosubiri pia.
 
Kwa kweli siku Mfwende sawadogo akilamba asali itakuwa shangwe sana hapa jukwaani!! Huyu ni mpiganaji hapa wa muda mrefu, ni suala la muda tu!! Sawadogo tutakupa maua yako siku hiyo!! just keep going!!
 
Ha
Naomba kuuliza.. mwenye any news za TRA

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Hawa TRA imeshapita miezi miwili tangu mwisho wa kupokea maombi. Nakumbuka ilikuwa tarehe 09/06/2023. Wako kimyaa, usikute ilikuwa ni gia ya kuhalalishia interns wao!! (ujue huko walijazana interns wenye connections na wakubwa).
 
Ha

Hawa TRA imeshapita miezi miwili tangu mwisho wa kupokea maombi. Nakumbuka ilikuwa tarehe 09/06/2023. Wako kimyaa, usikute ilikuwa ni gia ya kuhalalishia interns wao!! (ujue huko walijazana interns wenye connections na wakubwa).
Bora Utumishi(PSRS) waachie pdf la Tra kutoka database...
Wapunguze hofu inayokwenda kujengwa maana system(TRA) mpka inakuuliza kabila gani!!!
Mama(rais)alitizame hili .....
 
Status zina maana kubwa sana sema watu wabishi kinoma Hilo sisi tulishamaliza kuongea kuanzia mwaka Jana ile ni system sasa kuniambia eti imejiandika tu kuwa selected for oral kwanini isikuandikie fail kama inajiandika tu inapozidiwa
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Sasa Iv naona kama zimebadilika zaidi, toka shortlisted na selected for null kipindi Uzi huu ni wamoto mjadala wa status πŸ˜„πŸ˜„ Baba Jane bye bye sasa IV status mjadala umekuwa not selected for oral Vs selected for oralπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…