Hizo shortlisted zipo na selected for null zipo na selected for oral zote zina maana yake ππππ Bora zitokee hizo lakini ukiona maandishi mekundu Yale not selected na oral ilifanya ujue hapo baba jeni bye byeπππππππ Sasa Iv naona kama zimebadilika zaidi, toka shortlisted na selected for null kipindi Uzi huu ni wamoto mjadala wa status ππ Baba Jane bye bye sasa IV status mjadala umekuwa not selected for oral Vs selected for oralπππ
Ni mtifuano wao kwa wao ndaniHa
Hawa TRA imeshapita miezi miwili tangu mwisho wa kupokea maombi. Nakumbuka ilikuwa tarehe 09/06/2023. Wako kimyaa, usikute ilikuwa ni gia ya kuhalalishia interns wao!! (ujue huko walijazana interns wenye connections na wakubwa).
Shukrani!Nenda Ofisi za RITA Wilaya pamoja na cheti cha kuzaliwa ulichokosea na viambatanisho vingine
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Asante!Unaenda ofisi za RITA wilayani na huko utapewa mwongozo wote!! Hili zoezi halina usumbufu wowote.
Fafanua vizuri hapa mkuu kuna jamaa ana not selected for oral kwenye App na Web ni selected for oral ndio kaaga mashindano au vpHizo shortlisted zipo na selected for null zipo na selected for oral zote zina maana yake ππππ Bora zitokee hizo lakini ukiona maandishi mekundu Yale not selected na oral ilifanya ujue hapo baba jeni bye byeππππ
Afu tabia zako ujaacha unajisikia raha Sana watu kukwamaHizo shortlisted zipo na selected for null zipo na selected for oral zote zina maana yake ππππ Bora zitokee hizo lakini ukiona maandishi mekundu Yale not selected na oral ilifanya ujue hapo baba jeni bye byeππππ
kweli aixee miezi 11 hiyo ilibaki mwezi mmoja tu Database expire.
God's Perfect Timing.
Saivi mada itakua sio tena kwanini utumishi wanachukua mda mrefu kupost placement na itakua kwanini utumishi wanatoa placement ndogo ndogo kwanini wasitoe kwa ujumlaJaman mbona utumishi wanatoa vipdf vidogodogo siku hizi wanavigawanya gawanya kwanini wasitoe moja kubwa
Ngoja nianze kuchangia kwa sanaHongera sana mkuu ukawe mtumishi mwema, shuhuda kama hizi ndio tunazozitaka.
Nilichogundua ukiwa unachangia changia katika uzi huu lazma ulambe asali π
Wameanza wakina mwifwa na wenziwe, wakafuata wengine tukaja sisi, ukaja ww sasa atafuata mfwende sawadogo kwa sababu huu uzi umebarikiwa π
Kwl mkuu!Halmashauri njaa Kali hatari mno,hata wizaran yake Yale tu naskia
ulikuwa active sana kwenye uzi hongera kwa kupanda cheoπππ lkn usitukimbie mtaalam. ππHatimae jana nmelala jobless,ila nmeamka nmejikuta mtumishi,database inafanya kazi,nlifanikiwa kuingia oral 3,ya kwanza nlikutana na ndoige,nkabahatika tena kufanya oral mbili za mda na lga,ila leo nmekuta nmepata taasisi nlofanya interview mara ya kwanza,kupitia database.
Tusikate tamaa,wakati wa Mungu ni sahihi
Status: Selected for oral web na app
Hahahaha una kifua, utakutana na vijana wa ovyo umu unaweza kuona dunia chunguHabari zenu,mimi ni mgeni humu mnipokee.
Pia nataka kujua ili uweze kuona selected for both app and web nafanyaje?
ShukraniHahahaha una kifua, utakutana na vijana wa ovyo umu unaweza kuona dunia chungu
Ushauri wa bure subilia pdf Kama utapata mshukuru mungu ukikosa ivo ivo.
Kwann unasema ni mtifuato wao kwa wao ndani?Ni mtifuano wao kwa wao ndani
hii kuna watu inawafaa sana hasa waliopo na vikazi vya kujishikiza private sectors . Pole sana kama inakuwia ugumu mkuu.Ila utumishi kitu wanachonikera Ni kuweka Interview zote Jumamosi?? Kwann Wasiweke siku za kazi yaan J3 hadi Ijumaa?
karibu kijiweni kwa masela πππHabari zenu,mimi ni mgeni humu mnipokee.
Pia nataka kujua ili uweze kuona selected for both app and web nafanyaje?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]eti Kwa masela,, shukrani [emoji120][emoji120][emoji120]karibu kijiweni kwa masela [emoji23][emoji23][emoji23]