Hapo inatakiwa awe na deed pool kuthibitisha majina hayo kuwa yote ni yakeKwa mfano kwenye vyeti vyako vyote vya taaluma vinasomeka AL JOHN ila kwenye nida+cheti Cha kuzaliwa vinasomeka AL JOHN SON Hapo hakuna tatizo, ilo jina la tatu ni laukoo sio watu wote wanalitumia kwenye vyeti vya taaluma.
Ila kama mpangalio haupo hivyo au Kuna herufi imemiss apo tafuta affidavit mapema mzee.
Hongera sana na ukawe mtumishi mwema.Wakuu habari,kuna ushuhuda hapa...hatimaye kwenye PDF la jana,na mimi nimefanikiwa kulamba asali katika moja ya mashirika ya usafirishaji nchini,yaan nmelala jobless nkaamkia asalini.
Nmemaliza chuo mwaka Jana, post yetu ya ajira imetoka mwez wa 3 mwaka huu,nmfanya written kwa mara ya kwanza ,oral kwa mara ya kwanza na nmpata placement hapo hapo!Hakika Mungu ni mwema,nmejiunga na uzi huu km miez 8 hv iliyopita na sasa nmefanikiwa kulamba asali.
Ndugu zangu,tuendelee kusali na kumuomba Mungu ,hakika atatenda kwa kadri ya mapenzi yake na muda wake. Tuko pamoja wakuu hadi kieleweke,hakuna kukata tamaa, hakuna kurud nyuma
Mimi baada ya kujaza fomu nikaaambiwa ndo nisharipoti kazini tayari[emoji23][emoji23]..so nikitaka kuondoka nifuate taratibu kama wafanyakazi wengine..nikaandika barua ya kwenda kuchukua mizigo ndo nikaondoka...so inategemea na taasisi mkuuWakuu ukishasaini zile fomu fomu zote wanatumia mda Gani kukuita kazini na kukuambia kituo....(njaa mbaya nyieee)
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Aisee vjana mna Raha sana ww mtaani hupajui wwWakuu habari,kuna ushuhuda hapa...hatimaye kwenye PDF la jana,na mimi nimefanikiwa kulamba asali katika moja ya mashirika ya usafirishaji nchini,yaan nmelala jobless nkaamkia asalini.
Nmemaliza chuo mwaka Jana, post yetu ya ajira imetoka mwez wa 3 mwaka huu,nmfanya written kwa mara ya kwanza ,oral kwa mara ya kwanza na nmpata placement hapo hapo!Hakika Mungu ni mwema,nmejiunga na uzi huu km miez 8 hv iliyopita na sasa nmefanikiwa kulamba asali.
Ndugu zangu,tuendelee kusali na kumuomba Mungu ,hakika atatenda kwa kadri ya mapenzi yake na muda wake. Tuko pamoja wakuu hadi kieleweke,hakuna kukata tamaa, hakuna kurud nyuma
Haina haja hiyo mzee naongea hivyo kulingana na experience yangu, maana nina majina mawili kwenye vyeti vyangu vyote vya taaluma ila matatu kwa Nida + cheti Cha kuzaliwa.Hapo inatakiwa awe na deed pool kuthibitisha majina hayo kuwa yote ni yake
Poa utumishi wanasema mchawi mkeka unavyokandia status SasaUnapanick mitandaoni kiongozi nikuwangie nakujua??tunaongea uharisia ulivyo kwani humu watu wa utumishi wapo na walishasema haya kuwa mtulivu na mvumilivu pia ,pitia post za mwanzo utajifunza na mengine .
Na Mimi tatizo langu ndugu,Cheti Cha form 4 kina majina mawili tu(juma hamisi)alafu Cheti Cha Diploma, certificate,NIDA,kuzaliwa natumia majina matatu(juma Peter hamisi),hii imekaaje ndugu????nawaza hapa maana Kuna hatari ya kukosa salary ya mwanzoniKwa mfano kwenye vyeti vyako vyote vya taaluma vinasomeka AL JOHN ila kwenye nida+cheti Cha kuzaliwa vinasomeka AL JOHN SON Hapo hakuna tatizo, ilo jina la tatu ni laukoo sio watu wote wanalitumia kwenye vyeti vya taaluma.
Ila kama mpangalio haupo hivyo au Kuna herufi imemiss apo tafuta affidavit mapema mzee.
Sam mirror hatakagi kabisa kusikia suala la statusPoa utumishi wanasema mchawi mkeka unavyokandia status Sasa
Mi nimekuelewa Kama nimekukwaza samahani, ila punguza kutupa presha
Eti mama Jane bye bye.
Amen kwa hilo kuhisi barua Yes, ni yenyewe kutoka mjini utumishi mkeka una saini ya Kaimu Katibu Mkuu wa secretarietiHiyo barua uliyopeleka ni Ile ya Utuumishi eti? Hongera sana Mwanangu Mungu Akusimmamie.
Hahahaha sio Kama sitaki mkuu,Sam mirror hatakagi kabisa kusikia suala la status
Aisee umebahatika sana umemaliza chuo mwaka jana? Mwaka huu umelamba asali? Mungu amekupendelea sana usisahau kutoa shukrani kwa Mungu hongera sana nakutakia kila la heri katika utumishi wa ummaWakuu habari,kuna ushuhuda hapa...hatimaye kwenye PDF la jana,na mimi nimefanikiwa kulamba asali katika moja ya mashirika ya usafirishaji nchini,yaan nmelala jobless nkaamkia asalini.
Nmemaliza chuo mwaka Jana, post yetu ya ajira imetoka mwez wa 3 mwaka huu,nmfanya written kwa mara ya kwanza ,oral kwa mara ya kwanza na nmpata placement hapo hapo!Hakika Mungu ni mwema,nmejiunga na uzi huu km miez 8 hv iliyopita na sasa nmefanikiwa kulamba asali.
Ndugu zangu,tuendelee kusali na kumuomba Mungu ,hakika atatenda kwa kadri ya mapenzi yake na muda wake. Tuko pamoja wakuu hadi kieleweke,hakuna kukata tamaa, hakuna kurud nyuma
Hapo tafuta Deadpool mkuuNa Mimi tatizo langu ndugu,Cheti Cha form 4 kina majina mawili tu(juma hamisi)alafu Cheti Cha Diploma, certificate,NIDA,kuzaliwa natumia majina matatu(juma Peter hamisi),hii imekaaje ndugu????nawaza hapa maana Kuna hatari ya kukosa salary ya mwanzoni
kwenye interview utapitia lakini kazini hutoboi mzee mpaka deed pool hapo vinginevyo unaweza kukosa mshahara wako wa kwanza mpaka usolve hiyo issueHaina haja hiyo mzee naongea hivyo kulingana na experience yangu, maana nina majina mawili kwenye vyeti vyangu vyote vya taaluma ila matatu kwa Nida + cheti Cha kuzaliwa.
Tangu 2019 nafanya interview bila shida yoyote
Mzee narudia tena nina experience na hii issue zaidi ya watu watatu ninaowafahamu wapo kazini na wanapata mikwanja yao fresh tu, wenye scenario kama yangu.kwenye interview utapitia lakini kazini hutoboi mzee mpaka deed pool hapo vinginevyo unaweza kukosa mshahara wako wa kwanza mpaka usolve hiyo issue
Sawa mkuuHongera sana na ukawe mtumishi mwema.
Hpn,mkuu! Nmekaa mtaani tngu 2014 nlpomaliza Bachelor degree yangu. Hii habari ya chuo nnayozungumzia ni kwamba kuna diploma nyingne ndo nlisoma 2020-2022,ndo nkapata kulamba asali...ila nlisota 2014-2020
Hpn,mkuu! Nmekaa mtaani tngu 2014 nlpomaliza Bachelor degree yangu. Hii habari ya chuo nnayozungumzia ni kwamba kuna diploma nyingne ndo nlisoma 2020-2022,ndo nkapata kulamba asali...ila nlisota 2014-202