Umeiweka kitaalamu sana Mlumbi. What a journey...Furaha yako ni furaha yetuWakuu kuna ka ushuhuda kengine hapa.
Sitaki kusimulia historia yangu ndefu na hawa PSRS tangu zama na zama, mikando, safari za maumivu n.k maana nitawachosha.
Mnamo mwezi Januari mwaka huu nilifanya interview ya laboratory scientist pale UDSM (written na oral), lakini sikubahatika kuilamba asali.
Hatimaye leo bila shaka kupitia database, nimealikwa rasmi asalini katika chuo cha Nelson Mandela (NM-AIST) katika nafasi kama ile niliyoifanyia interview pale UDSM.
Tuweni na Subra, tusikate tamaa, tupambanie kile tunachokiamini. Ushindi upo siku moja.
ULUMBI
Hongera sana mkuu, hakika kila mtu na bahati yake, Chuo umetoka mwaka jana, asalini mwaka huu, joto la kitaa tutakusimulia...Wakuu habari,kuna ushuhuda hapa...hatimaye kwenye PDF la jana,na mimi nimefanikiwa kulamba asali katika moja ya mashirika ya usafirishaji nchini,yaan nmelala jobless nkaamkia asalini.
Nmemaliza chuo mwaka Jana, post yetu ya ajira imetoka mwez wa 3 mwaka huu,nmfanya written kwa mara ya kwanza ,oral kwa mara ya kwanza na nmpata placement hapo hapo!Hakika Mungu ni mwema,nmejiunga na uzi huu km miez 8 hv iliyopita na sasa nmefanikiwa kulamba asali.
Ndugu zangu,tuendelee kusali na kumuomba Mungu ,hakika atatenda kwa kadri ya mapenzi yake na muda wake. Tuko pamoja wakuu hadi kieleweke,hakuna kukata tamaa, hakuna kurud nyuma
Asali uliyolamba ni kupitia sifa ya Diploma au ya mwanzo(2014)?Hpn,mkuu! Nmekaa mtaani tngu 2014 nlpomaliza Bachelor degree yangu. Hii habari ya chuo nnayozungumzia ni kwamba kuna diploma nyingne ndo nlisoma 2020-2022,ndo nkapata kulamba asali...ila nlisota 2014-2020
nimekusoma mkuuKaka huyu sio mdogo wetu ni mkongwe mwenzetu, tangu 2014 amesema amemaliza chuo baada ya kuona mambo magumu miaka hii ya karibuni kajiongeza kusoma diploma na ndio iliyompa kazi baada ya kumaliza
Hongera mkuuWakuu kuna ka ushuhuda kengine hapa.
Sitaki kusimulia historia yangu ndefu na hawa PSRS tangu zama na zama, mikando, safari za maumivu n.k maana nitawachosha.
Mnamo mwezi Januari mwaka huu nilifanya interview ya laboratory scientist pale UDSM (written na oral), lakini sikubahatika kuilamba asali.
Hatimaye leo bila shaka kupitia database, nimealikwa rasmi asalini katika chuo cha Nelson Mandela (NM-AIST) katika nafasi kama ile niliyoifanyia interview pale UDSM.
Tuweni na Subra, tusikate tamaa, tupambanie kile tunachokiamini. Ushindi upo siku moja.
ULUMBI
Mkuu kwenye cheti cha kuzaliwa kuna majina mawili au la tatu ni tofauti na kwenye nida? Kwa ninavyojua vyeti vya kuzaliwa ni lazima majina matatuMimi nina case kama hiyo vyeti vina majina mawili nida majina 3,jina la 3 halipo hata kwenye cheti cha kuazaliwa kuashiria pengine ni la ukoo .
Nilichukua affirdavity na kazini sikudaiwaga chichote zaidi ya kufanyiwa uhakiki wa ana kwa ana necta mwezi hu nakula mshahara wangu wa 5 bila tabu
Leteni ushuhuda wakuu mliobahatikaMkuu kwenye cheti cha kuzaliwa kuna majina mawili au la tatu ni tofauti na kwenye nida? Kwa ninavyojua vyeti vya kuzaliwa ni lazima majina matatu
Sasa mbona unaniauote mimi mkuuLeteni ushuhuda wakuu mliobahatika
Samhn ni bahat mbaya chief [emoji120]Sasa mbona unaniauote mimi mkuu
Ok usijaliSamhn ni bahat mbaya chief [emoji120]
Hakuna shida hapo, hata Mimi cheti Cha form four kina majina mawili, lakini chuo majina matatu. Na ninavyoongea nipo taasisi x nasukuma gurudumu la maendeleoHapo shida kidogo ilotakiwa vyeti vyote vya taaluma majina yawe idadi sawa kama mawili basi kote mawili na kama matatu basi kote matatu, kwa sababu tunapoomba chuo tunatumia cheti cha form 4 sasa kwanini jina la cheti la chuo yatofautiane....hapo watakuzingua ila f4, f6 na chuo yangekuwa mawili wangekukubalia
hongera sana kwake na hongera kwa waliopata asali.IT anaendelea alipoishia ni pdf juu ya pdf[emoji95]
Majina ya kuitwa kazini yametoka BRELA. But what's shocking ni baadhi ya majina yaliyopo kwenye placement hayakuwepo kwenye call for interview