mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Haina haja hiyo mzee naongea hivyo kulingana na experience yangu, maana nina majina mawili kwenye vyeti vyangu vyote vya taaluma ila matatu kwa Nida + cheti Cha kuzaliwa.
Tangu 2019 nafanya interview bila shida yoyote
Aliyekwambia nimesoma orodha nani kwanza sijui Una upofu wa macho rudia kusoma uone aliyeleta taarifa nani na pia mm nipo since huu Uzi umeanza sema tu nilibadili π so kufatilia ni haki yangu na hakuna wa kunizuia kusema chochoteUngekuwa hutaki usingekuwepo hapa na zaidi usingepata muda wa kulinganisha orodha ya interview na placement
Kumbe sio wewe...samahani kwa hilo.Aliyeleta taarifa sio mimi, and nimechangia Tu
Alisema kwamba placement za brela zimetoka na hamna majina ya waliofanya usahili
Sasa kosa langu lipo wapi
Duuh mbona balaa hili. Btw mkuu huo mfano uliotumia nimeupenda umenikumbusha mbali...kumbe yule jamaa jina la tatu ni Mugisha [emoji1787][emoji1787] au huu nao ni mfano wa coincidence inayozungumziwa hapaNi kweli busara inaonesha kuwa hapo hakuna shida yoyote. Lakini katika jamii si kila siku utakutana na watu wanaofuata busara!! Kuna mtu mwingine atakuambia kuwa katika kazi tunafuata sheria kwanza kabla ya busara!! Kisheria, Ahmed Mugisha ni mtu tofauti kabisa na Ahmed John Mugisha. Kisheria kinachoweza kufanya hao awe mtu yule yule ni deed poll na si vinginevyo. Japo busara inaweza kuonesha kuwa kama cheti cha kuzaliwa kina majina yote matatu ie Ahmed John Mugisha basi ni mtu yule yule, japo anayefuata sheria anaweza kusema hiyo ni coincedence tu au anaweza kusema hicho cheti cha kuzaliwa kimechezewa!!. Sasa kama mko wawili mnagombania nafasi moja, mmoja hana kabisa utata na majina, na mwingine kisheria kuna utata japo ki-busara hana utata, nadhani watamchukua yule ambaye hana utata kabisa!! Katika mazingira ya kusaka asali yenye ushindani mkubwa ni busara kuondokana na hata na harufu tu ya utata!!
Angalia tangazo limeelekeza waliofanya interview tar ngapi sidhani kama walofanya juzi zile za temporary wameitwaMajina ya kuitwa kazini yametoka BRELA. But what's shocking ni baadhi ya majina yaliyopo kwenye placement hayakuwepo kwenye call for interview
Una akili sana mpiganaji! Ukishaingia huko digree yako itakusogeza mbele kwa urahisi!! Ukiona kuna nafasi inayoendana na digrii yako unamwomba mwajiri akufanyie recategorization/akubadilishie muundo, na wengi hutumia ujanja huo!!Diploma mkuu
Kupitia diploma mkuu nlomaliza mwaka jana,ila nlmaliza degree tngu 2014,so vumbi la kitaa nalielewa.Asali uliyolamba ni kupitia sifa ya Diploma au ya mwanzo(2014)?
Problem solver πππ.Angalia tangazo limeelekeza waliofanya interview tar ngapi sidhani kama walofanya juzi zile za temporary wameitwa
Duuhh kumbe wewe ni legend, huo mwaka sitaki kusema niikuwa wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kupitia diploma mkuu nlomaliza mwaka jana,ila nlmaliza degree tngu 2014,so vumbi la kitaa nalielewa.
Mtatumia nguvu kubwa kuelimishana watu awasomi review thread za nyuma na Tangazo lenyewe....Angalia tangazo limeelekeza waliofanya interview tar ngapi sidhani kama walofanya juzi zile za temporary wameitwa
Chako n kama changu.Aisee hivi vyeti kumbe vinatofautiana. Mimi cheti changu kuna sehemu ya jina langu, kuna sehemu ya baba majina yake matatu, na sehemu ya mama majina yake matatu
Kweli kabisa Ahmed Mugisha na Ahmed John Mugisha ni watu wawili tofauti na unahitaji DeedpoolNi kweli busara inaonesha kuwa hapo hakuna shida yoyote. Lakini katika jamii si kila siku utakutana na watu wanaofuata busara!! Kuna mtu mwingine atakuambia kuwa katika kazi tunafuata sheria kwanza kabla ya busara!! Kisheria, Ahmed Mugisha ni mtu tofauti kabisa na Ahmed John Mugisha. Kisheria kinachoweza kufanya hao awe mtu yule yule ni deed poll na si vinginevyo. Japo busara inaweza kuonesha kuwa kama cheti cha kuzaliwa kina majina yote matatu ie Ahmed John Mugisha basi ni mtu yule yule, japo anayefuata sheria anaweza kusema hiyo ni coincedence tu au anaweza kusema hicho cheti cha kuzaliwa kimechezewa!!. Sasa kama mko wawili mnagombania nafasi moja, mmoja hana kabisa utata na majina, na mwingine kisheria kuna utata japo ki-busara hana utata, nadhani watamchukua yule ambaye hana utata kabisa!! Katika mazingira ya kusaka asali yenye ushindani mkubwa ni busara kuondokana na hata na harufu tu ya utata!!
mkuu mi nilikua formfourDuuhh kumbe wewe ni legend, huo mwaka sitaki kusema niikuwa wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vip kuhusu hii.Kweli kabisa Ahmed Mugisha na Ahmed John Mugisha ni watu wawili tofauti na unahitaji Deedpool
ILA
Ahmed John na Ahmed John Mugisha huyo ni mtu mmoja na ndio point yangu ya msingi.
MAJINA MAWILI YA KWENYE VYETI(AHMED JOHN) NA MATATU KTK CHETI CHA KUZALIWA/NIDA(AHMED JOHN MUGISHA) HAYANA SHIDA YOYOTE
Aysee na mimi hapa 2014πππmkuu mi nilikua formfour
Vipi kwako mkuu wameshakuita au bado?Wazee kuna taasisi zinawataka watu, yani raia wakienda kuripoti hawawaachii...ni mwendo wa kukamilisha. taratibu zote chaap...ukiona taasisi yako inasuasua ujue hawana KIBUNDA, au wanakuonea gere WATU WAO wapo Mule wanajitolea au MKATABA..ila WALIKANDWA DOM
Ulikuwa form two unafikiri hatujui[emoji16]Duuhh kumbe wewe ni legend, huo mwaka sitaki kusema niikuwa wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]