Kuna shida kidogo apo maana J anaweza akawa yoyote John, Jackson. Kwenye interview unaweza ukaruhusiwa bila shida maana wanaangaliaga na picha pia, ila kazini kama mwajiri ni mnoko anaweza kukukomaliaVip kuhusu hii.
Majina kwenye vyeti vya taaluma ni Ahmed J Mugisha. Lakin nida na cha kuzaliwa n ahmed John Mugisha. Kuna shida pia sio?
Nasubiria tu MSG ya CRDB mkuu..π π π π πVipi kwako mkuu wameshakuita au bado?
Tar 23 au sioπ€£π€£π€£Nasubiria tu MSG ya CRDB mkuu..π π π π π
Nipo GOLINI...naambiwa tu et nimeanza kunenepa siku hizi, daah..uJOBLESS ulikua unaniPAUSHA aseeeh! Napokea simu hadi za Wasaga Kunguni! Wanatoa Hongera nawachora tu.Vipi kwako mkuu wameshakuita au bado?
Yaaaaap MastaTar 23 au sioπ€£π€£π€£
ππππ Furahi nao Tu, kikubwa uzimaπππ wajibu kwa kujiamin sasaNipo GOLINI...naambiwa tu et nimeanza kunenepa siku hizi, daah..uJOBLESS ulikua unaniPAUSHA aseeeh! Napokea simu hadi za Wasaga Kunguni! Wanatoa Hongera nawachora tu.
Daaaah kumbeeeπ³Wazee kuna taasisi zinawataka watu, yani raia wakienda kuripoti hawawaachii...ni mwendo wa kukamilisha. taratibu zote chaap...ukiona taasisi yako inasuasua ujue hawana KIBUNDA, au wanakuonea gere WATU WAO wapo Mule wanajitolea au MKATABA..ila WALIKANDWA DOM
hongera sana mkuuπNipo GOLINI...naambiwa tu et nimeanza kunenepa siku hizi, daah..uJOBLESS ulikua unaniPAUSHA aseeeh! Napokea simu hadi za Wasaga Kunguni! Wanatoa Hongera nawachora tu.
Hakuna tatizo lolote maana ukiingia kwenye system iyo J inaonesha John cha msingi herufi zifananeVip kuhusu hii.
Majina kwenye vyeti vya taaluma ni Ahmed J Mugisha. Lakin nida na cha kuzaliwa n ahmed John Mugisha. Kuna shida pia sio?
Naomba kukurekebisha kidogo afisaKuna shida kidogo apo maana J anaweza akawa yoyote John, Jackson. Kwenye interview unaweza ukaruhusiwa bila shida maana wanaangaliaga na picha pia, ila kazini kama mwajiri ni mnoko anaweza kukukomalia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ulikuwa form two unafikiri hatujui[emoji16]
Bado kiongozi wakitoa taarifa itakufikiaet jaman TRA watu washaitwa kimya kimya anaejua plz atujuze
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
asante kaka lakini kuna watu wameitwa mwezi ulopita au hujapata taarifaBado kiongozi wakitoa taarifa itakufikia
Kama unajijua ulifata taratibu zote vizuri kabisa endelea na maandalizi taratibu maana kuna hatari ya majina kutoka alafu muda wa maandalizi ukawa mchache.
Kwa wakongwe wanaelewa ili swala.
Nimependa hii SPIRIT...Iz shuhuda za watu kulamba asali humu kupitia psrs bila ya connection zinanipa nguvu sana, saiv call yeyote for interview nikiitwa ata kama ni nafasi 1 ntaenda, post yeyote ntakayokuwa na kigezo ntaomba, ntaziongeza izo received.
HONGERENI SANA NYOTE MLIOLAMBA ASALI MKAWE WATUMISHI WEMA NA WACHAPA KAZI.
Tunaishinao tu MASTA....wanangu humu wote TUTATOBOA tu....nawaibia SIRI...mule ndani TUNAHESHIMIKA sana, wanasema MIKANDO ya DOM simchezo na WAZEE wa CONTENT tuendelee kukaza....ππππ Furahi nao Tu, kikubwa uzimaπππ wajibu kwa kujiamin sasa
Mi mwenyewe taasisi niliyopata siku niliyoriport nilikamilisha taratibu zote ndani ya masaa matatu, na siku hiyo hiyo nikaambiwa niandike barua ya kuomba Hela ya kujikimu, kesho yake nikaambiwa nianze kazi. Process za kufanya confirmation Necta ziliendelea nikiwa kazin. Baada ya siku tatu nikapata hela ya kujikimu. Kwakifupi hakukua na usumbufu wowoteWazee kuna taasisi zinawataka watu, yani raia wakienda kuripoti hawawaachii...ni mwendo wa kukamilisha. taratibu zote chaap...ukiona taasisi yako inasuasua ujue hawana KIBUNDA, au wanakuonea gere WATU WAO wapo Mule wanajitolea au MKATABA..ila WALIKANDWA DOM
Ni mwendo wa asali tuuu...Mi mwenyewe taasisi niliyopata siku niliyoriport nilikamilisha taratibu zote ndani ya masaa matatu, na siku hiyo hiyo nikaambiwa niandike barua ya kuomba Hela ya kujikimu, kesho yake nikaambiwa nianze kazi. Process za kufanya confirmation Necta ziliendelea nikiwa kazin. Baada ya siku tatu nikapata hela ya kujikimu. Kwakifupi hakukua na usumbufu wowote
Sina hii taarifa kiongoziasante kaka lakini kuna watu wameitwa mwezi ulopita au hujapata taarifa
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app