HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwani jina la account ambayo utajaza kwa ajili ya kutumia kupokelea mshahara kama umeenda kureport linatakiwa liwe exactly na la kwenye vyeti vyako au ?

Nipeni majibu wataalamu Mwifwa na wengine
 
Kwani jina la account ambayo utajaza kwa ajili ya kutumia kupokelea mshahara kama umeenda kureport linatakiwa liwe exactly na la kwenye vyeti vyako au ?

Nipeni majibu wataalamu Mwifwa na wengine
Account ya bank haihusuani na majina ya taaluma unaweza weka account hata yenye jina la manzi yako na salary inatoka kama kawaida mzee
 
TARATIBU ZOTE NI ZIPI IZO???
Ukienda kuripoti:
Forms unazopewa ni
1. Payee 2. Medical 3. Next of kin 4. personal details si ndio?

Mimi nimepewa hizo. Baada ya kusubmit nimeambiwa wataniita after sometime. Hapo vitu ni complete au baaado?
No letter of contract, shahara, ela ya kujikimu cjajua.
Taratibu zote ni zipi hizo???
Twinawe Mwifwa mti mnene wizy
 
DUCE
 
Kama ni kweli Ili hizi ni tuhuma kubwa sana, nijuavyo mimi watu wa database majina utokea kwenye taasisi ambazo hazijaitisha usahili, au kama wameitisha usahili basi wanapangiwa kwenye nafasi za nyongeza mfano walihitajika watu wawili, wakipangia watu 3 hapo wadatabase akipata hakuna wasiwasi.
 
Wanataka kutuambia kwamba wote wamefaili siyo
 
Muwe mnaangalia kila tangazo la kazi limehusisha walofanya interview tar ngapi kabla hamjalaumu angalia tangazo la kazi Limehusu walofanya interview tar ngapi na nyie mnaozungumzia walifanya usahili tar ngapi?
 
Kwani jina la account ambayo utajaza kwa ajili ya kutumia kupokelea mshahara kama umeenda kureport linatakiwa liwe exactly na la kwenye vyeti vyako au ?

Nipeni majibu wataalamu Mwifwa na wengine
Ukiwa unafungua Account ya Benki, nyaraka zinazohitajika ni pamoja na Cheti cha kuzaliwa(huwa kuna majina 3 kwenye hiki cheti na ndio yanayoandikwa kwenye account namba).

Sasa kwenye vyeti majina yanatakiwa yafanane na ya kwenye cheti cha kuzaliwa, kwa hiyo yatafanana pia na majina ya Account number.

Kuhusu kutumia account yenye majina tofauti na ya kwenye vyeti sina uzoefu nalo ila kwa kuhakikisha taarifa ziwe sawa na wajue kuwa mwenye account ni fulani inabidi majina yafanane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…