HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
taasisi za umma kuanza kuwa huru kujiendesha rasmi mwisho wa mwezi huu ikiwemo kuajiri (kuanza na vyuo vikuu pamoja na taasisi za kibiashara) as long as wanameet expectations kama profit-Mchechu (msajili hazina)
Tujiandae kwakweli.
 
Hongera sana..
 
taasisi za umma kuanza kuwa huru kujiendesha rasmi mwisho wa mwezi huu ikiwemo kuajiri (kuanza na vyuo vikuu pamoja na taasisi za kibiashara) as long as wanameet expectations kama profit-Mchechu (msajili hazina)
Tujiandae kwakweli.
Dah tunarudi kule kule, sina Iman ata kidogo 🙃 Mungu atutetende wepesi jobless
 

Mkuu, sijaingia kwenye huu uzi kwa muda mrefu ni wewe kweli uliyetuacha ghafla au ni mwingine anatumia account ya wizy bila ridhaa yake?
 
Wakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.

Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao

Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
 
daah mwanangu ulilia lia sana. now MUNGU Kakukumbuka
 
HONGERA sana nakuita mdogo angu,coz niwajina wa mdogo angu. sasa hii inatupa faraja sana man kuwa inawezekana
 
Fanya kazi NGO ajira za serikali kuomba mwisho miaka 45.
 
Hongera sana mwamba,huko NGO piga chini hakuna job security
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…