Heaven kama heaven
JF-Expert Member
- Nov 27, 2021
- 457
- 799
Mi naona tafuta tu affidavit usifanye mambo kuwa mareefu au mafuupiMkuu kwenye cheti cha kuzaliwa kuna majina mawili au la tatu ni tofauti na kwenye nida? Kwa ninavyojua vyeti vya kuzaliwa ni lazima majina matatu
Daaah ulivyokuwa unailalamikia PSRS, Mungu amesikia kilio chako amekupa kazi ya serikalini bado tena unasema upo dilemma, na ikumbukwe kabla ya placement ulikuwa unalalamika sana ila watu bana😂😂😂Wakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.
Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao
Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
Mkuu nimepelekwa halmashaurDaaah ulivyokuwa unailalamikia PSRS, Mungu amesikia kilio chako amekupa kazi ya serikalini bado tena unasema upo dilemma, na ikumbukwe kabla ya placement ulikuwa unalalamika sana ila watu bana😂😂😂
Au umepelekwa sehemu ambayo haujaipenda??🤔🤔
Hongera mkuu mi nakushauri tu fuata moyo wako unachokitaka na unachokipendaWakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.
Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao
Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
Hongera sana mkuu, kila la kheri katika utumishi wakoWakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.
Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao
Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
Basi komaa huko huko fanya kazi kwa bidii ili uwepo kazini mpaka mkataba utapoisha na uwe na malengo na malipo utakayoyapata i mean uwekeze katika kitu kingine kitakachokuendeshea maisha yako hata usipopata kazi tena kwa wakati mkataba ukiisha usije ukaanza kuwatupia lawama PSRS tena🙌🙌Mkuu nimepelekwa halmashaur
Dah Yan ndio kwanza nimepokea mshahara wa kwanza huku NGO
Yani nitoke kwenye zaid ya 2 million kwa mwez nirudi mshahara wa laki 7 sijui ni 8 per month. Nipo dilemma borea psrs wangeniwah before sijapata hii last month
Fanya kile roho/moyo wako unaopenda na kuridhia kutokana na 'goal' uliyojiwekea mwanzoni kabisa kabla hujapata kazi zote mbiliMkuu nimepelekwa halmashaur
Dah Yan ndio kwanza nimepokea mshahara wa kwanza huku NGO
Yani nitoke kwenye zaid ya 2 million kwa mwez nirudi mshahara wa laki 7 sijui ni 8 per month. Nipo dilemma borea psrs wangeniwah before sijapata hii last month
hongera sana mtaalam.Wakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.
Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao
Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
Sikia we jamaa kama UNAJIAMINI NA UNAUWEZO KWELIKWELI baki hapo NGO lakini pia cheki histori ya wafanyakazi wa hapo kama Hiyo NGO ina muda mrefu, Je wanakaa na wafanyakazi kwa muda mrefu? Ikiwe ndio komaa nao huku ukiwa na plan makini za saving na uwekezaji mzuri acha bata za ajabu. Wakati huo unaendelea kufuatilia kazi za serikali usizozipenda ukibahatika ukapata unaacha huko NGO unaingia serikali.Mkuu nimepelekwa halmashaur
Dah Yan ndio kwanza nimepokea mshahara wa kwanza huku NGO
Yani nitoke kwenye zaid ya 2 million kwa mwez nirudi mshahara wa laki 7 sijui ni 8 per month. Nipo dilemma borea psrs wangeniwah before sijapata hii last month
Hongera Mkuu.Mkuu nimepelekwa halmashaur
Dah Yan ndio kwanza nimepokea mshahara wa kwanza huku NGO
Yani nitoke kwenye zaid ya 2 million kwa mwez nirudi mshahara wa laki 7 sijui ni 8 per month. Nipo dilemma borea psrs wangeniwah before sijapata hii last month
Hongera sana mkuu, hakika Mungu ni mwema, ukawe mtumishi mwemaNimekua kimya kwa muda humu kwa kua nilikua nmeshakata tamaa,nilichoka.
But Mungu ni mwema ktk pdf za wiki iliyopita nami nimo. Nikasema nkitulia ntakuja kuleta mrejesho humu.
Mungu ni mwema sana,nashukuru nyote tuliokua pamoja kipindi chote cha heka heka.
Guys Mungu anaskia vilio vyetu,tusikate tamaa.
Hongera sana kiongozi, ukawe mtumishi mwema huko.Nimekua kimya kwa muda humu kwa kua nilikua nmeshakata tamaa,nilichoka.
But Mungu ni mwema ktk pdf za wiki iliyopita nami nimo. Nikasema nkitulia ntakuja kuleta mrejesho humu.
Mungu ni mwema sana,nashukuru nyote tuliokua pamoja kipindi chote cha heka heka.
Guys Mungu anaskia vilio vyetu,tusikate tamaa.
Hongera sanaNimekua kimya kwa muda humu kwa kua nilikua nmeshakata tamaa,nilichoka.
But Mungu ni mwema ktk pdf za wiki iliyopita nami nimo. Nikasema nkitulia ntakuja kuleta mrejesho humu.
Mungu ni mwema sana,nashukuru nyote tuliokua pamoja kipindi chote cha heka heka.
Guys Mungu anaskia vilio vyetu,tusikate tamaa.
Amen,asanteHongera sana mkuu, hakika Mungu ni mwema, ukawe mtumishi mwema
Asante sanaHongera sana
Asante bossHongera sana kiongozi, ukawe mtumishi mwema huko.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Bila bodi - 500k na kituKwa halmashauri iyo TGS D baada ya makato yote take home inabaki ngapi?