mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,205
- 19,142
Kwenye tangazo walisema atakayekuwa shortlisted ndiye atakakepewa taarifa. Sasa kama taarifa ya shortlisting isipokuwa public watu wataachwa kwenye mataa wakisubiri.et jaman TRA watu washaitwa kimya kimya anaejua plz atujuze
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Hatimaye, Hongera sana madameNimekua kimya kwa muda humu kwa kua nilikua nmeshakata tamaa,nilichoka.
But Mungu ni mwema ktk pdf za wiki iliyopita nami nimo. Nikasema nkitulia ntakuja kuleta mrejesho humu.
Mungu ni mwema sana,nashukuru nyote tuliokua pamoja kipindi chote cha heka heka.
Guys Mungu anaskia vilio vyetu,tusikate tamaa.
Aliyekuwa kikwazo kwa hili ni kiongozi mkuu wa PSRS ndugu KITENGE na wamemwondoa kimya kimya ili wapitishe watu wao fasta!! Imagine taasisi zote nono za nyuki wadogo ziajiri zenyewe, (na huko kuna watoto kibao wa wakubwa "wakijitolea/interns") mtu ambaye huna connections huwezi kabisa kutoboa!!.taasisi za umma kuanza kuwa huru kujiendesha rasmi mwisho wa mwezi huu ikiwemo kuajiri (kuanza na vyuo vikuu pamoja na taasisi za kibiashara) as long as wanameet expectations kama profit-Mchechu (msajili hazina)
Tujiandae kwakweli.
Hongera sana Best.Mungu ni mwema.Karibu kwenye Utumishi na uwe mtumishi mwemaNimekua kimya kwa muda humu kwa kua nilikua nmeshakata tamaa,nilichoka.
But Mungu ni mwema ktk pdf za wiki iliyopita nami nimo. Nikasema nkitulia ntakuja kuleta mrejesho humu.
Mungu ni mwema sana,nashukuru nyote tuliokua pamoja kipindi chote cha heka heka.
Guys Mungu anaskia vilio vyetu,tusikate tamaa.
Nenda SerikaliniMkuu nimepelekwa halmashaur
Dah Yan ndio kwanza nimepokea mshahara wa kwanza huku NGO
Yani nitoke kwenye zaid ya 2 million kwa mwez nirudi mshahara wa laki 7 sijui ni 8 per month. Nipo dilemma borea psrs wangeniwah before sijapata hii last month
Hongera sana tunakupongeza tena kwa mara ya pili hii sasa ndo ya ukweli ukweli kabisa maana ile sikukuu ya wajinga april ulitupiga kamba na watu wakakupongeza humu🤣🤣🤣Nimekua kimya kwa muda humu kwa kua nilikua nmeshakata tamaa,nilichoka.
But Mungu ni mwema ktk pdf za wiki iliyopita nami nimo. Nikasema nkitulia ntakuja kuleta mrejesho humu.
Mungu ni mwema sana,nashukuru nyote tuliokua pamoja kipindi chote cha heka heka.
Guys Mungu anaskia vilio vyetu,tusikate tamaa.
Labda ungempa na reasons why asibaki hapo alipo akaenda serikalini???Nenda Serikalini
Hongera Sana my friend uwe mtumishi mwaminifu.Nimekua kimya kwa muda humu kwa kua nilikua nmeshakata tamaa,nilichoka.
But Mungu ni mwema ktk pdf za wiki iliyopita nami nimo. Nikasema nkitulia ntakuja kuleta mrejesho humu.
Mungu ni mwema sana,nashukuru nyote tuliokua pamoja kipindi chote cha heka heka.
Guys Mungu anaskia vilio vyetu,tusikate tamaa.
We jamaa mdg wa wizy ongeraNimekua kimya kwa muda humu kwa kua nilikua nmeshakata tamaa,nilichoka.
But Mungu ni mwema ktk pdf za wiki iliyopita nami nimo. Nikasema nkitulia ntakuja kuleta mrejesho humu.
Mungu ni mwema sana,nashukuru nyote tuliokua pamoja kipindi chote cha heka heka.
Guys Mungu anaskia vilio vyetu,tusikate tamaa.
😂😂😂😂Nipo kiongozi nakula mema ya nchiMkuu, sijaingia kwenye huu uzi kwa muda mrefu ni wewe kweli uliyetuacha ghafla au ni mwingine anatumia account ya wizy bila ridhaa yake?
Asante bossHatimaye, Hongera sana madame
Asante sana bestHongera sana Best.Mungu ni mwema.Karibu kwenye Utumishi na uwe mtumishi mwema
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hujasahau na ww......sasa yametimia...fake it till you make it...asante kwa mara ya piliHongera sana tunakupongeza tena kwa mara ya pili hii sasa ndo ya ukweli ukweli kabisa maana ile sikukuu ya wajinga april ulitupiga kamba na watu wakakupongeza humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante sana my dear,ntakuchek unipe abc kidogoHongera Sana my friend uwe mtumishi mwaminifu.
Hiyo NGO ukiingalia life span yake iko vipi kama uhakika wa kuwepo zaidi ya mika 10 mbele nakushauri komaa na NGOMkuu nimepelekwa halmashaur
Dah Yan ndio kwanza nimepokea mshahara wa kwanza huku NGO
Yani nitoke kwenye zaid ya 2 million kwa mwez nirudi mshahara wa laki 7 sijui ni 8 per month. Nipo dilemma borea psrs wangeniwah before sijapata hii last month
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kheeee kumbe wizy kakangu,asanteWe jamaa mdg wa wizy ongera
Hahaha sijasahau aisee… hongera sana all the best ukawe mtumishi mwema[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hujasahau na ww......sasa yametimia...fake it till you make it...asante kwa mara ya pili
Asee hongera sana mdogo wetu nikwambia ipo siku utatoa ushuhuda humu na Mungu Ametenda.Nimekua kimya kwa muda humu kwa kua nilikua nmeshakata tamaa,nilichoka.