mdogo wangu nilivyosoma situation unayopitia kiukwel akilini likaja swala hili uliloliongelea hapa maana mm pia nimeshashuhudia hili, sasa fanya maamuzi sahihi ukiliweka hili kichwani mwako, nakutakia kila la kheri!!Uhakika upo ni ipo chini ya UN lakin contract ikiisha miaka 3 kurenew sio rahis Sana maana katoka mtu Mimi ndio nikaingia
Hongera sana madam ni kitambo sana but finally you made it. Ukawe mtumishi mwemaNimekua kimya kwa muda humu kwa kua nilikua nmeshakata tamaa,nilichoka.
But Mungu ni mwema ktk pdf za wiki iliyopita nami nimo. Nikasema nkitulia ntakuja kuleta mrejesho humu.
Mungu ni mwema sana,nashukuru nyote tuliokua pamoja kipindi chote cha heka heka.
Guys Mungu anaskia vilio vyetu,tusikate tamaa.
Oyaa mzigo plus allowances total unasoma dola Ngapi? Piga hesabu kali kama NGO ya kibabe wanaishi na ww mbnaWakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.
Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao
Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
We uyuni manzi???Hongera sana madam ni kitambo sana but finally you made it. Ukawe mtumishi mwema
Atakukumbuka sana tu. Ila ongeza received as many as possible na kila siku tenga masaa kadhaa kwa ajili ya maandalizi hata kama bado hujaitwa kwenye usaili!!
Vp status zinasomajeMoshi
Hongera sana mkuu kwa kuingia kundini.Wakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.
Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao
Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
Hutaki kuja kulaumiwa baadae[emoji28][emoji28][emoji28]Hongera sana mkuu kwa kuingia kundini.
Suala la kutoka NGO au kutotoka hayo ni maamuzi yako
Hongera sana na kila la kheri kwenye majukumu yako mapya.Nimekua kimya kwa muda humu kwa kua nilikua nmeshakata tamaa,nilichoka.
But Mungu ni mwema ktk pdf za wiki iliyopita nami nimo. Nikasema nkitulia ntakuja kuleta mrejesho humu.
Mungu ni mwema sana,nashukuru nyote tuliokua pamoja kipindi chote cha heka heka.
Guys Mungu anaskia vilio vyetu,tusikate tamaa.
dav Hongera sana kaka nakumbuka ulikuwa ukilalamika sana mzeeWakuu na mm namshukuru Mungu nimelamba asali PDF ya Jana.
Status ni selected for oral both app na website kwa taasis zote 3 nilizofanya usahili
Interview nilifanya 10 mwaka Jana mbili nilitoboa oral ya mwezi wa 9 na 12. Mwaka huu pia February nilitoboa oral zile za LGA & MDA.
Hivyo sijajua if ni database au ni interview ipi imenipa kazi.
Nadhani mnakumbuka nilivyokua huku nikilalamika na kukata tamaa. Yani toka Jana na stress sijui nafanyeje
Kwani mwezi uliopita nilipata kazi kwenye NGO nikasaini contract ya 3 years.
Hapa nawaza niache NGO au nibaki
Sababu ukilinganisha huku NGO kutamu Yani salary per month ni Dola 1100 bado Kuna allowance kibao
Yani wakuu nimevurugwa. Sikutegemea kama placement itanipa stress hv
Hongera sana ,,ukawe mtumishi mwemaWakuu kuna ka ushuhuda kengine hapa.
Sitaki kusimulia historia yangu ndefu na hawa PSRS tangu zama na zama, mikando, safari za maumivu n.k maana nitawachosha.
Mnamo mwezi Januari mwaka huu nilifanya interview ya laboratory scientist pale UDSM (written na oral), lakini sikubahatika kuilamba asali.
Hatimaye leo bila shaka kupitia database, nimealikwa rasmi asalini katika chuo cha Nelson Mandela (NM-AIST) katika nafasi kama ile niliyoifanyia interview pale UDSM.
Tuweni na Subra, tusikate tamaa, tupambanie kile tunachokiamini. Ushindi upo siku moja.
ULUMBI
Hahahahaa.Hutaki kuja kulaumiwa baadae[emoji28][emoji28][emoji28]
Kama ni kweli huu ni msiba mzito ndugu zangunitaasisi za umma kuanza kuwa huru kujiendesha rasmi mwisho wa mwezi huu ikiwemo kuajiri (kuanza na vyuo vikuu pamoja na taasisi za kibiashara) as long as wanameet expectations kama profit-Mchechu (msajili hazina)
Tujiandae kwakweli.
Nenda serikalini bro, thank me laterMkuu nimepelekwa halmashaur
Dah Yan ndio kwanza nimepokea mshahara wa kwanza huku NGO
Yani nitoke kwenye zaid ya 2 million kwa mwez nirudi mshahara wa laki 7 sijui ni 8 per month. Nipo dilemma borea psrs wangeniwah before sijapata hii last month
Kwan sisi tulosomeshwa na bodi wanakata shingap Kwa mwezi wakuuHongera Mkuu.
Ila kiukweli Halmashauri kipengele na hio 700k ni basic. Kama ulisomeshwa na Heslb unaweza lamba 400k kwa mwezi bila allowance yoyote.
Huo mshahara wa NGO utakaopata tu Kwa miaka 3 tu.
Kwa take home ya Halmashauri utaupata baada ya miaka 20.
Assume other stuffs remain constant.
15% ya Basic salary MkuuKwan sisi tulosomeshwa na bodi wanakata shingap Kwa mwezi wakuu
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Kama salary ni laki tatu wanakata ngap15% ya Basic salary Mkuu
TGS D?647000 bila Loan board