Nenda serikalini hata kama una umri mdogoMkuu nimepelekwa halmashaur
Dah Yan ndio kwanza nimepokea mshahara wa kwanza huku NGO
Yani nitoke kwenye zaid ya 2 million kwa mwez nirudi mshahara wa laki 7 sijui ni 8 per month. Nipo dilemma borea psrs wangeniwah before sijapata hii last month
45000
Labda kwa wenzetu maisha mazuri.... lakini mimi huwezi kunishauri niaache ajira ya maisha niende NGOs hata kama Mshahara ni mara 3 yake siwezi.... Maisha ya Mkataba ni Magumu mno mtu anaweza kulala akaamka akawaza kupunguza wafanyakazi tu afu NGos zinfirisika sana kwa sasa na nyingi zinakufa.....aangalie Mungu kampa aichezee nafasi baada ya miaka mitatu arudi kuulizia mambo ya status zinakuwaje Na huku share yake tayr Mungu kampa....Kumbuka Mungu hakuangalii wewe tu.. wewe amekupa atahamia kwa wengine nao kutoa ridhiki.... yako tayari koo usije ukarudi kulaumu sijui niniNenda serikalini hata kama una umri mdogo
Acha mawazo ya kimasikini.Mkuu nimepelekwa halmashaur
Dah Yan ndio kwanza nimepokea mshahara wa kwanza huku NGO
Yani nitoke kwenye zaid ya 2 million kwa mwez nirudi mshahara wa laki 7 sijui ni 8 per month. Nipo dilemma borea psrs wangeniwah before sijapata hii last month
Kwakweli Wana upiga mwingi,, pdf la Leo limetolewa na katibu[emoji119]Sasa hivi website ya PSRS imechangamka ni vimulimuli tu kila kona, Mungu awasimamie waendelee hivyo hivyo
Wapewe maua yaoooKwakweli Wana upiga mwingi,, pdf la Leo limetolewa na katibu[emoji119]
Yule aliyekuwuwa anakaimu itakuwa kashakabidhiwa rasmi ukatibuKwakweli Wana upiga mwingi,, pdf la Leo limetolewa na katibu[emoji119]
Zipo mbuli aisee japo 1 ni ndigo sanaKuna pdf huko wadau mkachungulie
Homgera sana mzeeHatimae na mm nimefikiwa . mamlaka ya viwanja vya ndege.
Status ni SELECTED FOR ORAL interview both App and Web.
Ahsante sana kiongoziHomgera sana mzee
Hongera sanaUnalala ukiwa Jobless, unaamka unaogelea Asali TBS kutoka Database....
Unyama mwingi sana!