Sio kitenge ni kosa tu la kiuandishi yule mwamba katolewa paleJe unajuaje ni Kitenge? Yawezekana ni katibu mwingine. Ilitia mashaka baada ya picha yake kuondolewa kwenye tovuti!! Ngoja tusubiri picha ya katibu ili tujue kinachoendelea!! Kuna picha moja alionekana kwenye tovuti wakaandika "aliyekuwa katibu wa Sekretarieti.....". Hapo wengi wakaamini Kitenge amekandwa kimyakimya!!
La jana naibu katibu la leo katibu π π kitenge kakandwa kimya kimyaView attachment 2717953
Mwamba karudi kazini
wakirekebisha hili basi tena imeendaaaPamoja na PSRS kufanya kzi nzuri lakin utaratibu wa kutomjulisha msailiwa hatma yake baada ya oral SIO UTARATIBU MZURI mtu anakaa kuwaza muda mrefu kwa kweli linaumiza sana hasa kama mtu hana ramani mtaani
Database kiongozi
Kitenge alishaondoka tayari na sasa ameshapatikana mwingine ila bado kutangazwa publicJe unajuaje ni Kitenge? Yawezekana ni katibu mwingine. Ilitia mashaka baada ya picha yake kuondolewa kwenye tovuti!! Ngoja tusubiri picha ya katibu ili tujue kinachoendelea!! Kuna picha moja alionekana kwenye tovuti wakaandika "aliyekuwa katibu wa Sekretarieti.....". Hapo wengi wakaamini Kitenge amekandwa kimyakimya!!
Me nawaambia huyu ni mmoja wa majobless wenzetu aliyebahatika kupangiwa pale pssrs so hanajua Kila aina ya maumivu tuliyonayo.IT wa sasa ni hatariπ₯π₯π₯ habanii pdf zikiwepo hata tano anapost Zote
hongera nyingi wote mliolamba asali.
IT kanyaga twende.
Itakua vema sana kama watakua wanatoa matokeo ya oral mapema mtu ajue yumo au hayumo mapema kabisa kuepuka sonona zisina na ulazimaYaani kifupi nikwamba kwenye huu uzi,kuna jobless walio angukia sekretariet, tume ya maadili,tiss, wizara, halmashauri za mbwinde n.k
na mpaka sasa huu uzi umetazamwa na watu zaidi ya 2million sio mchezo, kilio chetu kinawifikia direct
kwa wageni wa huu uzi, wajue tu hata huyu muanzilishi wa huu uzi alikula ban kabisa ! soon later on sekretarieti wakafungua account hapa JF . kila tunalolisema linafika direct coz watu wa system wapo kila mahala
Hili nalo walione wakuu wetuItakua vema sana kama watakua wanatoa matokeo ya oral mapema mtu ajue yumo au hayumo mapema kabisa kuepuka sonona zisina na ulazima
Wnasherkea pipa la asali la MSD naona πWakuu Leo hmna ushuhuda??
Hata mimi naona hivyoo. Sio kwa moto huu π₯ hii august ni zaidi ya july aysee sizani kama hii speed ishawahi kutokea. Jamaa anatishaa.Me nawaambia huyu ni mmoja wa majobless wenzetu aliyebahatika kupangiwa pale pssrs so hanajua Kila aina ya maumivu tuliyonayo.
IT ni mpost tu matangazo sidhani kama anastahiki kusifiwa kiasi hiki....pongezi nyingi ziende kwa kaimu katibuHata mimi naona hivyoo. Sio kwa moto huu π₯ hii august ni zaidi ya july aysee sizani kama hii speed ishawahi kutokea. Jamaa anatishaa.
IT shusha nyingineπ₯.
πππIT ni mpost tu matangazo sidhani kama anastahiki kusifiwa kiasi hiki....pongezi nyingi ziende kwa kaimu katibu
Na bodi nzima ya sekretarietIT ni mpost tu matangazo sidhani kama anastahiki kusifiwa kiasi hiki....pongezi nyingi ziende kwa kaimu katibu
Nilifanya mwaka Jana wizara ya afya as data clerkVip mkuu Kalikenye_91 kuna Interview ya mkataba ulifanya kipindi cha nyuma??
Binafsi nilishiwahi kuomba iz za tanroads asee kuwa shortlisted Tu mbinde. Ilifika kipind nikaanza fwatilia barua kama imefika kupitia posta, mwisho wa siku niligive upIla hili la taasisi kutangaza , kufanyisha usaili na kuajiri zenyewe ni maafa ya mwaka. Tayari inaelekea taasisi zitakuwa zinaajiri zenyewe bila kupitia PSRS kama wakala. Ubovu wa kule ni kwamba, wanataarifiwa tu kibinafsi wale waliofanikiwa kuwa shortlisted! Kwa hiyo ukiomba halafu ukasikia kimya kwa muda mrefu (kama ilivyotokea kwa TRA) ujue kuwa hujafanikiwa!! Nimeangalia kwenye tovuti ya TANROADS nikakuta hayo mambo!! Wadau hapa mnaangalia PSRS tu kumbe kazi kibao zilishatangazwa huko na unaomba kwa kuandika barua kwa mkono!! Hawataki online application!! Kwanza ni gharama, pili ni usumbufu!! Ni gharama kwa sababu ili uwe na uhakika kuwa barua yako itafika salama, inabidi uitume kwa regester au kwa EMS!! Kwa jinsi attachments zilivyo nyingi, itagharimu zaidi ya 10,000/= kwa kila application!! Waliokuwa wanaombea taasisi ziajiri zenyewe, maombi yao yamesikiwa!!Kwa taarifa zaidi, link hii hapa: https://www.tanroads.go.tz/common/uploads/vacancy/x6f817346c82e8782ac0004479cc23bf.pdf
JOB OPPORTUNITIES
01st August, 2023
Tanzania National Roads Agency (TANROADS) is vested with the responsibility of Maintenanceand Development of Trunk and Regional Roads Networks in Tanzania Mainland. It is alsoresponsible in conducting Axle Load Control Operations using weighbridges scales.The Regional Manager TANROADS Mbeya on behalf of the Chief Executive TANROADS islooking for suitably qualified and competent Tanzanians to fill vacant positions available for Engineers, Social Welfare Officer and Accounts Officer as follows;..........................................,
Means of Applications
Please send your handwritten application letter, academic and birth certificates as well as comprehensive Curriculum Vitae (C.V) to the address shown below. Your application must be submitted not later than 14thAugust, 2023. Only successful candidates will be notified and invited for Interview.
THE REGIONAL MANAGER,TANZANIA NATIONAL ROADS AGENCY (TANROADS),
P. O. BOX 258,
MBEYA.