El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,082
- 6,530
aliyemshauri raisi atakua ndio huyohuyo mchechuko aliyekua jipu la magufuli 🤣 🤣Wasio na ajira Waombe Mungu wapate mapema kinyume na hapo baada ya mwaka huu halafu utaratibu huu ukaanza na kupewa baraka ni lazima wengi watalimia meno kabisa!
PSRS wana mapungu yao kama taasisi lakini ukifanya utafiti utagundua kuwa rushwa na upendeleo umepungua sana sana katika upatikqnaji wa ajira kwenye kila taasisi bila kujuana na bila upendeleo zaidi ya kuomba Mungu na kufaulu mitihani yao….
Mimi nina watu wa karibu zaidi ya wawili waliopata kazi TRA kupitia utumishi na wala hatuna watu tunawajua uko TRA au utumishi!
Hivi ni nani kampa Rais wazo la kuwapa taasisi power tena ya kuajiri wenyewe? Kwanini utumishi wasiongezewe nguvu na kusaidiwa? Mimi bado naamini kuna watu hutoa ushauri mbaya sana na huu ni mmoja wapo
Kama wanachelwesha majibu kwanini wasiwezeshwe na wqkapewa kila rasilimali?
Ukisikiliza vizuri hiyo video lengo ni zuri isipokuwa namna saili zitavyoendeshwa inatia shaka kulingana na mambo yalivyokuwa huko nyuma. Bado naona kuna faida zaidi ajira zikiwa CENTRALIZED.aliyemshauri raisi atakua ndio huyohuyo mchechuko aliyekua jipu la magufuli [emoji1787] [emoji1787]
Hili inabidi lipigiwe kelele Sana kwa mfululizo, vinginevyo ni vigumu kutoboa! Watu hawana aibu!! Kwa mfano unawezaje kumtaka mtu aombe ajira na deadline ni siku tatu tu halafu hutaki atumie email!Ukisikiliza vizuri hiyo video lengo ni zuri isipokuwa namna saili zitavyoendeshwa inatia shaka kulingana na mambo yalivyokuwa huko nyuma. Bado naona kuna faida zaidi ajira zikiwa CENTRALIZED.
kwa situation ya ajira ilivyo sasa hivi usitegemee haki itatendeka kwa hiyo system wanayotaka kufanya ndugu yangu.waache tu hii system ya PSRS maana imeshaonesha matumaini kwa vijana wengi wasiokua na ajiraUkisikiliza vizuri hiyo video lengo ni zuri isipokuwa namna saili zitavyoendeshwa inatia shaka kulingana na mambo yalivyokuwa huko nyuma. Bado naona kuna faida zaidi ajira zikiwa CENTRALIZED.
BuyuJamn wanajukwaa TAA ni buyu la asali wakubwa au Kijibuyu kidogo dogo na mishahara yao ipoje wakuu
Bwawa la asali tena ya nyuki wakubwaJamn wanajukwaa TAA ni buyu la asali wakubwa au Kijibuyu kidogo dogo na mishahara yao ipoje wakuu
kumbe pako vizuri pale.Bwawa la asali tena ya nyuki wakubwa
Kwenye taasisi Kuna wanoko wengi wapo mpaka humu wangejua ingekuwa shida
Basi watoe mikeka yote na Data base yote tumalize biashara ,uanze huo mfumoHuku kutoka mikeka mfululizo napo sio bure, Ukimsikiliza vizuri msajili wa hazina anavyosema kuwa wanataka kuwaachia makampuni ya Umma kujiendesha bila ya kuingiliwa na Serikali! Napata mashaka muda si mrefu Taasisi zinazojitegemea kwa mapato zitarudi kuendesha saili kama mwanzo..
Kutolea mfano wa Vyuo vikuu, hii ni Greenlight huenda vyuo vikuu vikaanza kuendesha saili kama ilivyokuwa zamani..
Tuendelee na maombi..
Hili jambo linawezekana kwa aslimia kubwa, kwamaana ukifuatia uwanja wa matangazo psrs yamepungua sana na sio kwaida yao psrs, kikubwa maombi yaendelee kuepusha hili.Huku kutoka mikeka mfululizo napo sio bure, Ukimsikiliza vizuri msajili wa hazina anavyosema kuwa wanataka kuwaachia makampuni ya Umma kujiendesha bila ya kuingiliwa na Serikali! Napata mashaka muda si mrefu Taasisi zinazojitegemea kwa mapato zitarudi kuendesha saili kama mwanzo..
Kutolea mfano wa Vyuo vikuu, hii ni Greenlight huenda vyuo vikuu vikaanza kuendesha saili kama ilivyokuwa zamani..
Tuendelee na maombi..
Vijana mnapaniki bure.Hili jambo linawezekana kwa aslimia kubwa, kwamaana ukifuatia uwanja wa matangazo psrs yamepungua sana na sio kwaida yao psrs, kikubwa maombi yaendelee kuepusha hili.
hujamsikiliza mchechu hapo juu?Vijana mnapaniki bure.
Mnaonekana mmeanza kuufuatilia huu uzi juzi.
Ajira portal inaenda kwa trending kuna muda mwezi mzima kunakuwa hamna Now post,placement wala interview.
Kusema taasisi za serikali zipewe mamlaka ya kuajiri wenyewe sahau hilo halitaweza kutokea kwa sasa.
Dhima ya sakratirieti ya ajira ni kusimamia michakato yote ya ajira na kama inatokea taasisi zinapewa mamlaka hiyo unadhani utumishi wa umma kazi yake itakuwa nini ?
Taasisi hazitaweza kupewa mamlaka ya kujisimamia kamwe.
Nakubaliana na wew mkuu itakua labda kuna kitu behind embu msikilize mchechu hapo juu na Mama Samia alishaonyesha dalili za kutoikubali PSRS.Hili jambo linawezekana kwa aslimia kubwa, kwamaana ukifuatia uwanja wa matangazo psrs yamepungua sana na sio kwaida yao psrs, kikubwa maombi yaendelee kuepusha hili.
Nafanyeje mkuu niache NGO au nifanye nn mshahara ni TGS.
Hapa hata sijajiandaa kufata barua