Marcellojr
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 305
- 786
Hakika wakati wa MUNGU ni wakati sahihi, Hatimaye na mimi leo nimefanikiwa kulamba asali.
Namshukuru sana Mwenyezi MUNGU kwa busara na uvumilivu alionipatia ktk hili pamoja na ndugu na jamaa wote wa jukwaa hili kwani kwa pamoja kumenifanya kushindwa kukata tamaa.
Ahsanteni sana.

Kaka uzipata utani PM..saiz washkaji wanazikacha NGOS baada ya kulamba asali utumishi.
Wakuu nipeni fursa/mchongo/advert za hizo gap za Private/NGO kupitia email : donajaye23@gmail.com
jua la mtaa sio mchezo
Hongera sana mkuuHakika wakati wa MUNGU ni wakati sahihi, Hatimaye na mimi leo nimefanikiwa kulamba asali.
Namshukuru sana Mwenyezi MUNGU kwa busara na uvumilivu alionipatia ktk hili pamoja na ndugu na jamaa wote wa jukwaa hili kwani kwa pamoja kumenifanya kushindwa kukata tamaa.
Ahsanteni sana.
WrdHongera mwamba maliza na issue ya status ikoje?
Nakumbuka ulikuwa unatutakia Kheri sana wote.Huku ukisema Hongera na Usisite kujipongeza na kumshukuru mwenyezi Mungu Kwa Shuhuda.
Hongera sana pia kaka.Ukawe mtumishi mwema
Vuta subira mkuuHawajatoa kwa taasisi yetu mpaka Sasa.
Hongera sana mkuu, Mungu ni mwema sana. Ukawe mtumishi mwema.Hakika wakati wa MUNGU ni wakati sahihi, Hatimaye na mimi leo nimefanikiwa kulamba asali.
Namshukuru sana Mwenyezi MUNGU kwa busara na uvumilivu alionipatia ktk hili pamoja na ndugu na jamaa wote wa jukwaa hili kwani kwa pamoja kumenifanya kushindwa kukata tamaa.
Ahsanteni sana.
Hongera sana mkuuHakika wakati wa MUNGU ni wakati sahihi, Hatimaye na mimi leo nimefanikiwa kulamba asali.
Namshukuru sana Mwenyezi MUNGU kwa busara na uvumilivu alionipatia ktk hili pamoja na ndugu na jamaa wote wa jukwaa hili kwani kwa pamoja kumenifanya kushindwa kukata tamaa.
Ahsanteni sana.
Hongera sana.... Ukichangia katika uzi huu mara kwa mara lazima ulambe asali...huu uzi umebarikiwa na muumba.Hakika wakati wa MUNGU ni wakati sahihi, Hatimaye na mimi leo nimefanikiwa kulamba asali.
Namshukuru sana Mwenyezi MUNGU kwa busara na uvumilivu alionipatia ktk hili pamoja na ndugu na jamaa wote wa jukwaa hili kwani kwa pamoja kumenifanya kushindwa kukata tamaa.
Ahsanteni sana.
Hongera sana mkuu.Hakika wakati wa MUNGU ni wakati sahihi, Hatimaye na mimi leo nimefanikiwa kulamba asali.
Namshukuru sana Mwenyezi MUNGU kwa busara na uvumilivu alionipatia ktk hili pamoja na ndugu na jamaa wote wa jukwaa hili kwani kwa pamoja kumenifanya kushindwa kukata tamaa.
Ahsanteni sana.
Hongera sana mwambaHakika wakati wa MUNGU ni wakati sahihi, Hatimaye na mimi leo nimefanikiwa kulamba asali.
Namshukuru sana Mwenyezi MUNGU kwa busara na uvumilivu alionipatia ktk hili pamoja na ndugu na jamaa wote wa jukwaa hili kwani kwa pamoja kumenifanya kushindwa kukata tamaa.
Ahsanteni sana.
Hongera sana..Hakika wakati wa MUNGU ni wakati sahihi, Hatimaye na mimi leo nimefanikiwa kulamba asali.
Namshukuru sana Mwenyezi MUNGU kwa busara na uvumilivu alionipatia ktk hili pamoja na ndugu na jamaa wote wa jukwaa hili kwani kwa pamoja kumenifanya kushindwa kukata tamaa.
Ahsanteni sana.
Hongera sana afsa, nimefurahi sana kusikia hili. pia ww jamaa umemtangaza sana MUNGU kwenye huu uziHakika wakati wa MUNGU ni wakati sahihi, Hatimaye na mimi leo nimefanikiwa kulamba asali.
Namshukuru sana Mwenyezi MUNGU kwa busara na uvumilivu alionipatia ktk hili pamoja na ndugu na jamaa wote wa jukwaa hili kwani kwa pamoja kumenifanya kushindwa kukata tamaa.
Ahsanteni sana.
poa mkuuKaka uzipata utani PM..
mfwende sawadogo
Kuwa kama Sam mirror yeye pamoja na status yake kuwa Not selected for all bado hajakata tamaa anajua ridhiki inatoka kwa Mungu peke yakeSteling ndugu yangu ulipotelea wapi... au umekata tamaa tayari? wakati ukiwa bado haujafika unahisi kama Mungu kakauacha lakini kila mtu na wakati wake aise