Mpaka kufikia saa10 jioni kitaeleweka, tuendelee kuomba dua jobless ili PSRS waendelee na majukumu yao kama kawaida na waongezewe nguvu kaziKumekucha wadau kulingana na ile clip ya Mchechu Leo ndio Tarehe 19. Mama anatoa muelekeo Kuhusu Taasisi,Dua zetu PSRS iboreshwe tu sio kunyanganywa mchakato.
Kweli Mkuu muda sio mrefu wataanza mambo wamesema mkutano unaanza saa nne na nusu.Mpaka kufikia saa10 jioni kitaeleweka, tuendelee kuomba dua jobless ili PSRS waendelee na majukumu yao kama kawaida na waongezewe nguvu kazi
Status vpUshuhuda.
Kipitia Mkeka Wa Jana Nashukuru Mungu Nimelamba Asali.
Hongera sanaaaaaa mzeeUshuhuda.
Kipitia Mkeka Wa Jana Nashukuru Mungu Nimelamba Asali.
Hongera sana, ukawe mtumishi mwemaUshuhuda.
Kipitia Mkeka Wa Jana Nashukuru Mungu Nimelamba Asali.
Hongera sanaUshuhuda.
Kipitia Mkeka Wa Jana Nashukuru Mungu Nimelamba Asali.
Selected for oral Both.Status vp
Hongera sana mwambaUshuhuda.
Kipitia Mkeka Wa Jana Nashukuru Mungu Nimelamba Asali.
Hongera sanaaaaaSelected for oral Both.
Database Oral Nilifanya Mwezi wa 6.
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwadilifu na mchapa kaziUshuhuda.
Kipitia Mkeka Wa Jana Nashukuru Mungu Nimelamba Asali.
Hongera sana.Ushuhuda.
Kipitia Mkeka Wa Jana Nashukuru Mungu Nimelamba Asali.
Namsikiliza kwenye radio apaSwitch on TBC Mama anaongea sasa
Anasemaje mamaa?Namsikiliza kwenye radio apa
Nimechelewa kumsikiliza, rakini tangu nianze kumsikiliza mpaka sasa naona bado hajagusia PSRSAnasemaje mamaa?