Wansakieki
Senior Member
- Mar 23, 2023
- 182
- 656
Nimukuelewa mkuu, maana nilikua naona mapicha picha tu nilichelewa kidogo. Nadhani uko sahihi kwa nilivyoona na mmNilichokielewa hapa ni kwamba hiki ni kikao kazi, Mh Rais kaalikwa kukifungua tu na kukibariki, baada ya hapo watendaji wakuu na watu wengine wa taasisi za umma watayajadili wanayoona kwaio ni sahihi harafu watampelekea Rais kuyabariki, kwaio hili jambo la kusema taasisi zote waajiri wenyewe ni bado sana
Tuendelee tu kujiandaa na saili tu kwasasa kama una received. PSRS hajagusiwa ata kwa mbali.Anasemaje mamaa?
Tuendelee kuomba Mungu tu hayo watakayoyajadili na kumpelekea Rais ayapitishe yasiwe yenye kutuumiza sisi watoto wa masikini na kama yatatuumiza basi Rais ayakatae asiyapitisheNimukuelewa mkuu, maana nilikua naona mapicha picha tu nilichelewa kidogo. Nadhani uko sahihi kwa nilivyoona na mm
Kwanini umeshtuka[emoji28][emoji28]hawastahili au?Nmeona taasisi zilizofanya vizuri zikipewa tuzo. Nmeshtuka kuona NIDA yuko kwenye list after TCRA na TPA.
labda ujaskia vizuriNilichokielewa hapa ni kwamba hiki ni kikao kazi, Mh Rais kaalikwa kukifungua tu na kukibariki, baada ya hapo watendaji wakuu na watu wengine wa taasisi za umma watayajadili wanayoona kwaio ni sahihi harafu watampelekea Rais kuyabariki, kwaio hili jambo la kusema taasisi zote waajiri wenyewe ni bado sana
kitambulisho mpaka leo sijapata hahaNmeona taasisi zilizofanya vizuri zikipewa tuzo. Nmeshtuka kuona NIDA yuko kwenye list after TCRA na TPA.
Hii tu ya kusema wamepewa mamlaka ya kujisimamia na kujiendesha zenyewe lazima tu wataomba na mamlaka ya kuajiri wenyewe. Wata ambatanisha reasons zile zile baadhi ya watu hua wanakuja nazo humu. Sababu kama hiz [emoji116]Tuendelee kuomba Mungu tu hayo watakayoyajadili na kumpelekea Rais ayapitishe yasiwe yenye kutuumiza sisi watoto wa masikini na kama yatatuumiza basi Rais ayakatae asiyapitishe
Aaah ndugu NIDA hawa hawa [emoji16] jukumu lao kuu wameshindwa,Kwanini umeshtuka[emoji28][emoji28]hawastahili au?
Yan nimeshangaa sanakitambulisho mpaka leo sijapata haha
Duh so sad,ndo wako kwenye list sasa[emoji1787][emoji1787]Aaah ndugu NIDA hawa hawa [emoji16] jukumu lao kuu wameshindwa,
Watu tuna miaka mi 4 hatuna vitambulisho na tumejiandikisha.
Labda kma wao wanaangalia tu net surplus/deficit
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Mpaka sasa wameziruhusu taasisi 28 kujiendesha zenyewe ikiwemo taasisi 15 za kibiashara na taasisi 13 za vyuo vikuu vya umma so wanaendelea mdogo mdogo kuziruhusu
Wabongo huwa tunahitaji Kichwa Cha habari tu, habari kama tunatunga wenyeweTaasisi Zina pewa power kwenye kila kitu mpk kujiajiri na bodi zao zinakuwa na full power,kujiendesha zenyewe,ikiwa wizara tu na waziri wanazuiwa kuwaingilia,kuombaomba hela,hii itakuwa hatari sana,Hama kweli wizara na halmashauri njaa itatutikisa vibaya mno
Samahani ningependa nizijue baadhi ya izo taasisi ukiachana na izo za kibiashara(Mfn NBC) na vyuo.Mpaka sasa wameziruhusu taasisi 28 kujiendesha zenyewe ikiwemo taasisi 15 za kibiashara na taasisi 13 za vyuo vikuu vya umma so wanaendelea mdogo mdogo kuziruhusu
Wewe uliesikia vizuri elezea kile ulichokisikialabda ujaskia vizuri
Tena wa 3 kwenye category yao after TCRA na TPA. imagine waliobaki [emoji3]Duh so sad,ndo wako kwenye list sasa[emoji1787][emoji1787]