HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tena wa 3 kwenye category yao after TCRA na TPA. imagine waliobaki [emoji3]
Nadhan wamepimwa kwa kutoa namba ambayo ndio muhimu kwa kuanzia , maana sehemu nyingi ukiwa na namba tu unapata huduma, ila wangeangalia kigezo cha vitambulisho, wangeshika namba ya mwisho au ya 3 toka chini [emoji3][emoji3][emoji3]. Ila kiukweli kwenye swala la kutoa namba tu wako fasta

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo leo hamna pdf au zile pdf double double ilikuwa kwa ajili ya kusikilizia kitakachojiri leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona PDF limeshawekwa la page 6 ni la leo tarehe 19, ujaliona? Kuna vijana 30 wamepata shavu la udereva MSD, wapo wa tanroans, Halmashauri n.k

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mbona PDF limeshawekwa la page 6 ni la leo tarehe 19, ujaliona? Kuna vijana 30 wamepata shavu la udereva MSD, wapo wa tanroans, Halmashauri n.k

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kuna yule alikua anauliza "MSD" anaona wanavyochomoa DATABASE ..wao mara chache sana wanatangaza nafasi, WANARUKAGA tu na DATABASE
 
Usijali mkuu, kada yako itafikiwa tuu....kuwa mpole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…