😂😂😂😂😂 af kama kwel ivMsikute Makofia ndio kawa IT wa utumishi😂
Hapoi wala haboi, anaweka vitu juu ya vitu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] af kama kwel iv
Omba Mungu sana ajira hii isisitishwe njiani. Hali ilivyo sasa unaweza kuchoma nauli halafu ukasikia ajira imesitishwaMko poa wana JF...
Msaada kwenye written interview kada ya environmental officer - TANROADS
Wote wawili maafisa hesabu wewe unaanza na laki 7 bila posho yeyote mwenzako anaanza na 2M + transport 10%+accomodation 13%+ bonus ya sikukuu.“Mashirika yamekuwa ni sehemu ya kula raha, na ndio maana tulivyokuwa tunazungumza, Waziri wa Utumishi akasema; tunapozungumza mashirika haya, pale kwangu utumishi nina vita," amesema na kuongeza;
"Kila mtu anataka kuhama Serikalini kwenda kwenye mashirika, kuna nini? Marupurupu mazuri mishahara minene lakini hakuna tija kwa serikali, sasa hatuwezi kwenda hivyo ndugu zangu, lazima tubadilike.”
Mh. RAISI
Nani anataka kula unga mkavu kama nyoka? Binafsi hii habari ya kuunganisha mashirika sijaipokea vizuri kwani nilikua nafukuzia huko pia.Wote wawili maafisa hesabu wewe unaanza na laki 7 bila posho yeyote mwenzako anaanza na 2M + transport 10%+accomodation 13%+ bonus ya sikukuu.
Nani anataka kula unga mkavu kama nyoka?
Tutakimbia tuNani anataka kula unga mkavu kama nyoka? Binafsi hii habari ya kuunganisha mashirika sijaipokea vizuri kwani nilikua nafukuzia huko pia.
Tutaikumbuka PSRS
Sio poa yaaani wote waajiliwa wa serikali lkn mishahara tofauti tofautiWote wawili maafisa hesabu wewe unaanza na laki 7 bila posho yeyote mwenzako anaanza na 2M + transport 10%+accomodation 13%+ bonus ya sikukuu.
Nani anataka kula unga mkavu kama nyoka?
Serikalini pa nzuriHivi ukiitwa kazini Serikalini ktk Taasisi/Mamlaka fulani na tyr upo ktk NGO'S ya Wazungu jee kikawaida unachagua wapi uende?
Maana nawaza hapa niache Asali ya huku niende kwenye Asali ya Serikali.. which is which
Mnaraha sana ninyi.... Yani mpaka mnachijagulia pakwenda. huku wanna jua linatupiga kitaa kugumu tunalala tunaamka hatujui ni lini Mungu atatuangalia na sisiHivi ukiitwa kazini Serikalini ktk Taasisi/Mamlaka fulani na tyr upo ktk NGO'S ya Wazungu jee kikawaida unachagua wapi uende?
Maana nawaza hapa niache Asali ya huku niende kwenye Asali ya Serikali.. which is which
Ok ok
Kila kitu na wakati wake.Mnaraha sana ninyi.... Yani mpaka mnachijagulia pakwenda. huku wanna jua linatupiga kitaa kugumu tunalala tunaamka hatujui ni lini Mungu atatuangalia na sisi
Umejuaje umeingia kwenye data base hata hujajua kama umefaulu au laah??Hello.
Nashukuru Mungu nimeingia kwenye database na Mimi nilifanya interview nne..
3 sikuingia Oral.
1 ndo nimeingia oral Jana.
Post ilikuwa Assistant nursing officer II.
Mwajiri alikuwa Muhimbili.
Mapambano bado yanaendelea
Hongera kwa interview. Lakini Kuingia Oral sio database mkuu mpaka ufaulu oral pia.Hello.
Nashukuru Mungu nimeingia kwenye database na Mimi nilifanya interview nne..
3 sikuingia Oral.
1 ndo nimeingia oral Jana.
Post ilikuwa Assistant nursing officer II.
Mwajiri alikuwa Muhimbili.
Mapambano bado yanaendelea
So utajuaje kama upo kwenye databaseUmejuaje umeingia kwenye data base hata hujajua kama umefaulu au laah??