Kama umetoka kwenye oral mpk watu wanaitwa kazini hawajakupa matokeo yako unaona upo sahii kuamin unachopewa pale ..Kuna mdau alisema ukiwaomba wanakupa matokeo
CPA halmashauri laki 9.4, CPA TTCL 2.7MARUSHA: Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu amesema kuwa kuna wimbi la watumishi ambao wanakimbilia kuomba uhamisho kutoka katika taasisi zao kwenya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Shirika la Umeme nchini (Tanesco), Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) na Mamlaka ya Udhibiti Nishati na Maji (EWURA).
Akizungumza katika Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma, Mchechu amesema kumekuwa na ‘Mafuriko’ ya maombi kwenda taasisi hizo akisisitiza kuwa “watu wanataka kwenda huko kwa kuwa mapato ni mazuri.”
Amewataka Watendaji kusaidia kuboresha taasisi zao ili kuwezesha mashirika hayo kusimama.
Hata hivyo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amesema baadhi ya Taasisi zimekuwa zikipelekewa watumishi ambao hawana uwezo akishauri kufanyike uchambuzi ili watu wanaohamishwa wawe na sifa zinazohitajika katika taasisi husika.
“Unakuta kuna taasisi inaletewa watu ambao hata haiwahitaji kwa sababu tu ni watumishi wa umma, nadhani hili nalo lifanyiwe kazi,” ameshauri CAG.
Kuna mdau alisema ukiwaomba wanakupa matokeo
Hili Group wachawi mshakuwa wengi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu bwana kujipa moyo, inawezekana vipi kusiwe na kufaulu na kufeli kama ni hivyo oral ingefutwa ibaki written tu
Uliienda kuomba kwa Lengo lipi?Mi niliwahi kwenda kuomba matokeo ya oral wakagoma kutoa kabisa,wakasema kanuni zao haziwaruhusu,ni kosa kwa mtumishi kufanya hivyo,Ila ukiwa mlalamikaji sana na msumbufu,wanakutengenezea matokeo bandia wanakuonesha feki,%kubwa ya watu waliooneshwa wameambiwa walifeli oral,utasikia una 47 au 48 ili kukuziba mdomo,niliwahi kushuhudia jamaa anaoneshwa kapata 47
Kwa lengo lipi Tena ,c nijue nilichokipata oral ni kipiUliienda kuomba kwa Lengo lipi?
Acha watu wakimbieeCPA halmashauri laki 9.4, CPA TTCL 2.7M
Acha vijana wakimbie
Hapa Umekosea Ndugu, uwezekano wa kufeli upo kama hautafikisha 50 lkn Angalau Interview ya oral siyo Ngumu kama Written.Umejibu vyema ..
HAKUNA MTU ANAYEFELI ORAL.
Angalia ulichopresentHili Group wachawi mshakuwa wengi.
Nimesema nimefanya oral Jana na nina nitapata kazi au kubaki kwenye database.
Watu mnaanza maneno kwahiyo mnataka nikose kazi au.
Hiyo post yako kunatangazo pia ubalozi wa marekani inchini Tanzania salary ni milioni 4. Ingia uangalieHello.
Nashukuru Mungu nimeingia kwenye database na Mimi nilifanya interview nne..
3 sikuingia Oral.
1 ndo nimeingia oral Jana.
Post ilikuwa Assistant nursing officer II.
Mwajiri alikuwa Muhimbili.
Mapambano bado yanaendelea
Mimi siombi huko ubalozi wa marekani najua ni connection tuHiyo post yako kunatangazo pia ubalozi wa marekani inchini Tanzania salary ni milioni 4. Ingia uangalie
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mkuu hata kama umekasirika ndio utuite wachawi wenzio kweli [emoji1787][emoji1787] hatujasema hujaingia hata sisi tunawish uwe umeingia lakini tinapingana na kauli kuwa eti ukishafanya oral automatically unakuwa umeingia kwenye database au eti oral hakuna mtu anayefeli huko ni kujilisha upepo.Hili Group wachawi mshakuwa wengi.
Nimesema nimefanya oral Jana na nina nitapata kazi au kubaki kwenye database.
Watu mnaanza maneno kwahiyo mnataka nikose kazi au.
[emoji3][emoji3][emoji3] Ni kujijaza matumaini hasiMkuu hata kama umekasirika ndio utuite wachawi wenzio kweli [emoji1787][emoji1787] hatujasema hujaingia hata sisi tunawish uwe umeingia lakini tinapingana na kauli kuwa eti ukishafanya oral automatically unakuwa umeingia kwenye database au eti oral hakuna mtu anayefeli huko ni kujilisha upepo.
Anajilisha upepo sio !Mkuu hata kama umekasirika ndio utuite wachawi wenzio kweli [emoji1787][emoji1787] hatujasema hujaingia hata sisi tunawish uwe umeingia lakini tinapingana na kauli kuwa eti ukishafanya oral automatically unakuwa umeingia kwenye database au eti oral hakuna mtu anayefeli huko ni kujilisha upepo.
Anatuletea habari hazieleweki mara Oral hakuna kufeli... kama vile anaambia la 7Anajilisha upepo sio !
Sio kweli mkuu hayo ni majina ya nyongeza soma vizurii kwenye Tangazo.Naona tayari figisu figisu zimeshaanza mdogo mdogo: Hivi ni kweli kwa nafasi hizi za kuanzia kabisa fresh graduates yaani Engineer II, Economist II, ICT Officer II anaweza kuitwa mtu mmoja tu kwenye usajili wakati huku kitaa wamejaa tele ina maana aliomba mtu mmoja tu au?. Hayo ndo mambo yanayoendelea huko TANROADS na kwingineko.