Naona tayari figisu figisu zimeshaanza mdogo mdogo: Hivi ni kweli kwa nafasi hizi za kuanzia kabisa fresh graduates yaani Engineer II, Economist II, ICT Officer II anaweza kuitwa mtu mmoja tu kwenye usajili wakati huku kitaa wamejaa tele ina maana aliomba mtu mmoja tu au?. Hayo ndo mambo yanayoendelea huko TANROADS na kwingineko.
Mimi concept yangu niliyomaanisha ni kwamba.Hapa Umekosea Ndugu, uwezekano wa kufeli upo kama hautafikisha 50 lkn Angalau Interview ya oral siyo Ngumu kama Written.
Nimeanza kuziona roho mbaya hata Humu.Mkuu hata kama umekasirika ndio utuite wachawi wenzio kweli [emoji1787][emoji1787] hatujasema hujaingia hata sisi tunawish uwe umeingia lakini tinapingana na kauli kuwa eti ukishafanya oral automatically unakuwa umeingia kwenye database au eti oral hakuna mtu anayefeli huko ni kujilisha upepo.
Kazini auMbona mimi nimeitwa fasta sana?
Mkuu kama unaroho ya kichawi hata oral haujafika. Sasa nakuambia kazi nitapata na nitakuletea ushuhuda .Anatuletea habari hazieleweki mara Oral hakuna kufeli... kama vile anaambia la 7
Sasa Jamani kosa langu nilipi mnataka niseme nimefeli oral au.[emoji3][emoji3][emoji3] Ni kujijaza matumaini hasi
Ni kweli tuko njia moja mkuu na hakuna mtu anamtakia mtu mabaya na hata sisi tukiwa na roho mbaya haikuzuii wewe kupata kazi kama Mungu ameamua wewe upate hiyo kazi utapata tu bila kujali mimi nataka nini. Tunachojaribu kukueleza ni kuwa kufika oral ni sawa unakuwa umepata mwanga ila usiweke matarajio makubwa sana. Maana nimeona hapo juu mnasema eti kule oral hakuna mtu anafeli wote mnakuwa mmequalify [emoji1787][emoji1787] hata mnapoitwa interview wote mnakuwa mmequalify ila ndio hivyo wengine wanaishia written, wengine oral na wengine kwenye vituo vya kazi. Hiyo ndio maana ya interviewNimeanza kuziona roho mbaya hata Humu.
Mwanzoni nilijua tuko njia moja.
Kama sisi wote wapambanaji ilibidi hata mnipongeze maana kuingia kwenye oral tu nimepambana vita vikubwa.
Ukija kwa upande wangu oral nimefanya kadri ya uwezo wangu mengine nimemwachia Mungu.
Tumeona DATABASE inawabeba watu kila siku na wanatoa shuhuda Ila watu humu mshaanza yenu.
Namalizia kwa kusema.
Nitapata kazi tu,kwa uwezo wa Mungu
Nina jamaa watano wa kada yangu walipoingia oral tu wakapata kazi.Ni kweli tuko njia moja mkuu na hakuna mtu anamtakia mtu mabaya na hata sisi tukiwa na roho mbaya haikuzuii wewe kupata kazi kama Mungu ameamua wewe upate hiyo kazi utapata tu bila kujali mimi nataka nini. Tunachojaribu kukueleza ni kuwa kufika oral ni sawa unakuwa umepata mwanga ila usiweke matarajio makubwa sana. Maana nimeona hapo juu mnasema eti kule oral hakuna mtu anafeli wote mnakuwa mmequalify [emoji1787][emoji1787] hata mnapoitwa interview wote mnakuwa mmequalify ila ndio hivyo wengine wanaishia written, wengine oral na wengine kwenye vituo vya kazi. Hiyo ndio maana ya interview
Uwe na uhakika au hauna, anayekupa marks (PSRS) ndio ana uhakika kuwa umefaulu oralNina jamaa watano wa kada yangu walipoingia oral tu wakapata kazi.
Je kama nimekuwa na uhakika wa kujibu maswali
Point ni kwamba, una uhakika ndio sawa, ila hamna haja ya kuwa na expectaction kubwa kuwa ni lazimaa kana kwamba ni fomula kuwa kuingia orla lazima upate kazi, ni vema kutizama factors nyingine kama ushindani, idadi ya nafasi, etcUwe na uhakika au hauna, anayekupa marks (PSRS) ndio ana uhakika kuwa umefaulu oral
Utajua UjuiSo utajuaje kama upo kwenye database
Unaweza ukajiona umejibu poa kumbe Kuna watu wamejibu vizuri zaidi yako,na unaweza pia kujibu yote,aliyebabaika ndo akapata kaziπππNina jamaa watano wa kada yangu walipoingia oral tu wakapata kazi.
Je kama nimekuwa na uhakika wa kujibu maswali yao issue ya kufeli inatoka wapi?
Ninauhakika na Mungu wangu anajua alikonitoa.Uwe na uhakika au hauna, anayekupa marks (PSRS) ndio ana uhakika kuwa umefaulu oral
I don't care.Unaweza ukajiona umejibu poa kumbe Kuna watu wamejibu vizuri zaidi yako,na unaweza pia kujibu yote,aliyebabaika ndo akapata kazi[emoji16][emoji16][emoji16]
πππ Usiwaangalie hao jamaa zako kila mtu na nyota yake we kikubwa omba Mungu uwe wakati wako uwepo ila hizo perception ulizo nazo kwenye akili yako bora tu uachane nazoNina jamaa watano wa kada yangu walipoingia oral tu wakapata kazi.
Je kama nimekuwa na uhakika wa kujibu maswali yao issue ya kufeli inatoka wapi?
Niko kwa DatabaseUnaweza ukajiona umejibu poa kumbe Kuna watu wamejibu vizuri zaidi yako,na unaweza pia kujibu yote,aliyebabaika ndo akapata kazi[emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa unataka niwazaje mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23] Usiwaangalie hao jamaa zako kila mtu na nyota yake we kikubwa omba Mungu uwe wakati wako uwepo ila hizo perception ulizo nazo kwenye akili yako bora tu uachane nazo
We jamaa unafurahisha sanaππππI don't care.
Mkae kwa kutulia nitaleta ushuhuda humu.
Wenye roho mbaya ni wengi sana