HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Tumwambie au tuachane naye?
Tuachane naye tu Maana naona anapaniki
sisi tukimwambia ukweli anasema wachawi.. masuala ya kupata placement ni Mungu mwenyewe ndiye anayeamua... na wala sio binadam.. haina maana kujivu vizuri basi ww ni uhakika kikubwa omba Mungu aruhusu tu. na sisi tunamwombea apate maana pia nasi na wahanga wenzie pia tunaomba tupate.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Imebidi nicheke aseeeh haya mambo yajayo yanafurahisha ingia kwenye app baada ya wiki isome status afu tuambie hapa tukupe muongozo
 
Yah database inafanya kazi
Tusikate tamaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imebidi nicheke aseeeh haya mambo yajayo yanafurahisha ingia kwenye app baada ya wiki isome status afu tuambie hapa tukupe muongozo
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Changanua vizuri hayo maneno na wakati yalipotolewa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Imebidi nicheke aseeeh haya mambo yajayo yanafurahisha ingia kwenye app baada ya wiki isome status afu tuambie hapa tukupe muongozo
Mwenzako ana imani kali sana ameshaingia database we unamletea mambo ya status tena🀣🀣🀣🀣🀣 jamaa yupo database tayari hata kama ikisoma not selected ana imani yupo database
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…