Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,049
- 1,797
Nani aliekudanganya kuwa tpdc wanalipwa milioni mbili usilolijua ni sawa na usiku wa giza.Ni kweli ndugu Ila hii siyo poa,Jambo la kwanza linakuwaga ni kupata,ukishapata kazi Sasa tamaa ya mwanadamu inaanza kuangalia malisho mazuri,haiwezkan degree moja halmashauri analipwa laki 7,degree hiyo hiyo TPDC alalipwa karibu milioni 2,hii siyo sawa ndugu,
Ww si ulisema umeajiriwa wizarani inakuwaje tena unasema umeajiriwa halmashauri?Ni kweli ndugu Ila hii siyo poa,Jambo la kwanza linakuwaga ni kupata,ukishapata kazi Sasa tamaa ya mwanadamu inaanza kuangalia malisho mazuri,haiwezkan degree moja halmashauri analipwa laki 7,degree hiyo hiyo TPDC alalipwa karibu milioni 2,hii siyo sawa ndugu,
🙄🙄Nani aliekudanganya kuwa tpdc wanalipwa milioni mbili usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Tamaa mbaya aise mtaka vyote hukosa vyote 😅
🙄🙄Nani aliekudanganya kuwa tpdc wanalipwa milioni mbili usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Tamaa mbaya aise mtaka vyote hukosa vyote 😅
Ww si ulisema umeajiriwa wizarani inakuwaje tena unasema umeajiriwa halmashaur
Hii unatolea mfano au ndio umekalilishwa !Ni kweli ndugu Ila hii siyo poa,Jambo la kwanza linakuwaga ni kupata,ukishapata kazi Sasa tamaa ya mwanadamu inaanza kuangalia malisho mazuri,haiwezkan degree moja halmashauri analipwa laki 7,degree hiyo hiyo TPDC alalipwa karibu milioni 2,hii siyo sawa ndugu,
Mfano huo,usipanic ndugu 😁😁Hii unatolea mfano au ndio umekalilishwa !
Eti 2M aloo
Eti like joto la selected n not selected hajalionja,hahahaaaaYan huyu jamaa hata lile joto la mada za status la selected vs not selected hajalionja ashakimbilia direct kwenye database😂😂😂
Mnataka kusemajeEti like joto la selected n not selected hajalionja,hahahaaaa
UchapweMnataka kusemaje
Hii naona ni operation safisha Data baseKaPDF kadogo dogo kameshushwa uko, kozi yangu bado naona haijafikiwa wacha nivute subra.
KWA MLIOPATA HONGERENI
Naamini atashusha nyingine leo leo.Hii naona ni operation safisha Data base
naunga mkono 👋Naamini atashusha nyingine leo leo.
Nikuulize swali kwani kinachomata serikalini sana ni salary au posho na safari?Huo ni mfano tu ndugu,Kuna neno hapo nimesema nimeajiriwa halmashauri???hata na hiyo wote ni TGS