HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hizo safari na semina utaenda wewe tu kwani ofisini uko peke yako? Na usiombe ukawa na boss mwenye ukabila utasugua benchi sana. Sio watumishi wote wa wizara wana safari. Kuna wizara moja Engineer alitakiwa kwenda nje ya nchi training ila wadau walipoona posho ile ya nje ya nchi barua waliichekecha akaenda muhasibu. Mkuu sijui kama unajua mazingira halisi ya kazi za wizarani na halmashauri au umesikia kwa mtu.
 
Naanza na mm leo
 
Sasa muhasibu na technical staff wapi na wapi jaman..? Labda Kama ilikua training ya jumla jumla tu
 
Wataalamu tupeane bussiness ideas na michongo ya kutafuta hela naona psrs kumekuwa kugumu na maisha yanatakiwa yaende. Jua kali sana😥😥😥😥😥😥😥.
Kila pdf ikitoka hola miaka inakatika, aysee sio poaaa.
Mkuu bado mapema sana kukataa tamaa, kemea iyo roho, piga michongo mengine uku ukiisikilizia PSRS siku moja na wewe utaibuka kwenye asali nzito Tu, kikubwa Iman
 
Dah asee😳 kumbe haya mambo yapo kwel...
 
Habari wadau

Naomba kuuliza. Hivi ukiwa umepata placement halmashauri x kwenye position y ambayo wakati unaifanyia usaili ilikuwa na majukumu z. Sasa umeripoti kazini boss wako hapo halmashauri x akakupangia kituo cha kazi kingine ambacho kina majukumu tofauti kabisa na ya awali. Unaweza lalamika na ukasikilizwa?

Shukrani
 
Wataalamu tupeane bussiness ideas na michongo ya kutafuta hela naona psrs kumekuwa kugumu na maisha yanatakiwa yaende. Jua kali sana😥😥😥😥😥😥😥.
Kila pdf ikitoka hola miaka inakatika, aysee sio poaaa.
Ata me naona kumekuwa kugumu asee.. hapa nawaza kilimo cha irrigation au ata kujishikiza kwenye car wash.. maana huwezi jua Mungu katupangia wapi wengine kutoboa
 
Ukishasaini mkataba na mwajiri, kupangiwa kituo cha kazi ni maamuzi ya mwajiri sio yako tena. Mfano umefanya interview nafasi ya mkaguzi wa ndani/Internal Auditor. Ukiripoti pale unaweza kupangiwa hata kuwa afisa hesabu Zahanati, shule, kata au soko. Kuna kipengele kwenye barua "na utatekeleza majukumu mengine utakayopangiwa na mkuu wako"
 
Hivi mkuu unasubili Data base au unasubili direct kabisa??
 
Kama ni hivyo basi kila sehemu hupo pekee yako na ukabila upo pale pale...
Acha kuwaza negative tu,watu kibao wapo halmashauri na wanakula mema ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…