HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Update ya oral na written lini inatolewa kwenye web na app
Daaah KUWA na subra bro mim nilijua umefanya mwezi gan sijui majibu yatakapotoka ndio itakapobadilika status, KUWA mpole,

Hiyo status itabadilika pale matokeo ya mtihani yatakapotoka na ni lini yatatoka WAO ndio waamuzi
 
Ila bado una matumaini usiache kufuatilia mikeka inayotoka unaweza kupata kupitia database lakini pia usiache kuomba nafasi zingine
 
Pole sana mkuu, Mungu ni mwema next time utatoboa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…