HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hapo ili kuondoa utata ni vyema ukafata tu hiko cheti, Japo siyo muhimu, ila tayari ameweka SHΓ€KA, unaweza kumpa cheti cha cha SCHOOL CANDIDATE msela wako ...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kabla ya placement app ilikuwa inasomaje?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Huenda hufuatulii mara nyingi mijadala inayotolewa humu.....

Majibu ya hili swali yamo humu yashajibiwa toka mwaza jana
 
Subiri kuna mtu anaitwa wizy atakuja kukuelewasha kama ni system au laaπŸ₯±
 
Pole sana, usikate tamaa, jipange kwa saili zijazo.
 
pole sana
 
Inabidi kuwa na uvumilivu maana unasubir placement kwa muda mrefu ikitoka napo unasubiri mda mrefu tena kupigiwa simu kwajili ya training na kuanza kazi. Wasaka ajira tunapitia mlolongo mrefu sana
Cha msingi nitoke kwenye pdf.....
Hata wamalize miezi sita tuitwe kazini lkn Amani ipo kuliko sasa ninabashiri kila mkeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…