Hii ishu ya not selected situlishasema ukiona hivyo ujue hukufaulu oral huo ndo ukweli mchunguNilikua nasubiria placement zimetoka juzi nimekosa πππππ
Nimefungua app inasoma not selected for oral interview wakati nilichaguliwa nikafanya oral vizuri π’π’π’ sijajua ni system au shida nini jaman
Sio system hakunaga cha system kuyumba wewe jiulize kwanini isiyumbe ikuandikie selected ukiwa umefeli kwenda oral?Subiri kuna mtu anaitwa wizy atakuja kukuelewasha kama ni system au laaπ₯±
Nilikuwa nataka kuisikia hii "BABA JENI BYE BYE. . !"Sio system hakunaga cha system kuyumba wewe jiulize kwanini isiyumbe ikuandikie selected ukiwa umefeli kwenda oral?
Issue ipo hivi ukifaulu itakuwa selected for oral na selected for null umefaulu lakini usubiri data base na not selected hiyo baba jeni bye bye
Jaman πππ nilisubiria mda mrefu hvy bora ningejua mapema, nina maumivu makali had nashindwa kulaSio system hakunaga cha system kuyumba wewe jiulize kwanini isiyumbe ikuandikie selected ukiwa umefeli kwenda oral?
Issue ipo hivi ukifaulu itakuwa selected for oral na selected for null umefaulu lakini usubiri data base na not selected hiyo baba jeni bye bye
Nkajua nmeona mm tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila we jamaa unachekesha sana sijajua kilichokupa stress ni nini. You're way too sensitive bwana utaweza kupambana na joto la mtaa kweli?
Mim tangu 2011 ndugu yangu kuwa mpole tu Mungu ni mwema, usisikilizie saaana usiwe na expectation saaana Wewe fanya mambo yako huku ukiwa unaangalia Kwa web na app mara Kwa mara ila ukisema jambo hlo uliwaze masaa 24 sisi TULIOMALIZA chuo tangu 2011 tungeshajifia Kwa stressMwaka wa 5,kitaa niko overated nahitaji kazi tyu
Hapa umesema mkuu,post yoyote hata kama nafasi imeandikwa moja, vijana tusisite kuombaHongera sana kwake, kila mmoja wetu nahakika atapata placement ni swala la muda Tu mkuu, tuongeze juhudi kuhudhuria izo interview
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]utajua hujui[emoji23][emoji23][emoji23]
Labda kweli hukufikisha 50% ufaulu.Au mlifaulu wengi hivyo upo database. Endelea kuomba ajira.Jaman πππ nilisubiria mda mrefu hvy bora ningejua mapema, nina maumivu makali had nashindwa kula
Kivumbiiii leoππππNilikuwa nataka kuisikia hii "BABA JENI BYE BYE. . !"
π€£π€£π€£
Utazoea tu ndo utumishi walivyoJaman πππ nilisubiria mda mrefu hvy bora ningejua mapema, nina maumivu makali had nashindwa kula
Psrs wako moto, soon mkeka wa CDO's unatoka.New pdf huko
2po pamoja kundiniPsrs wako moto, soon mkeka wa CDO's unatoka.
Tuko pamojaMwamba pole sana lakini hongera kwa ukakamavu.
Nimependa post imekaa kisomi.
Naamini utapata post nzuri zaidi kutoka database. Usikate tamaa, wewe ni mtu muhimu sana humu. Tuendelee kujikongoja pamoja. πͺπͺ
CDOβs labda kuanzia September ndo wataanza kuachiaPsrs wako moto, soon mkeka wa CDO's unatoka.