captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 958
- 2,080
Kikubwa uwe unavigezo vya kuapply, juhudi zetu ndo zitatutoa kweny huu ujobless.Hapa umesema mkuu,post yoyote hata kama nafasi imeandikwa moja, vijana tusisite kuomba
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Wanasoma majina ya watu walioitwa usailihivi mnajuaje kama wamechukua database au direct
Well said nakumbuka oral yangu yakwanza kufanya tulikua 10 na ilikua heavy sababu hakukua na swali la mention yote yalikua explain na watu wankukazia kabisa ila nashukuru Mungu ile taasisi ilichukua watu wake wawili tuliobaki wote tumepangiwa taasisi tofauti ingawa kila mtu kwa muda wake maana wengine walishaanza kazi kitambo wengi bado wanasubili taratibu za kukamilisha ajira. All in all usiache kuomba pale nafasi zinapotoke na ukiitwa kwenye interview usiache kwenda hata kama position ni moja na kingine fanya maandalizi yakutosha ili usiishie kupoteza nauli.Hapa umesema mkuu,post yoyote hata kama nafasi imeandikwa moja, vijana tusisite kuomba
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Hongera comrade ukawe mtumishi boraNamshukuru Mungu na wadau humu ndani, nimepata japo ni kichupa cha asali, lakini nina furaha.
Nilipitia ups and downs nyingi, ni takribani miaka 10, interview yangu ya kwanza nilianza pale utumishi ikiwa Dar, mitaa ya posta.
Nimepiga interview za utumishi kama 8, hivi, but now Mungu kaona ni wakati wangu rasmi.
Kikubwa sikuwa na taarifa na nilishakata tamaa, jamaa yangu ndiyo kanipigia simu hapa, nacheki majina ya tarehe 24, nimo, what a joyous moment.
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwadilifu na mchapa kaziNamshukuru Mungu na wadau humu ndani, nimepata japo ni kichupa cha asali, lakini nina furaha.
Nilipitia ups and downs nyingi, ni takribani miaka 10, interview yangu ya kwanza nilianza pale utumishi ikiwa Dar, mitaa ya posta.
Nimepiga interview za utumishi kama 8, hivi, but now Mungu kaona ni wakati wangu rasmi.
Kikubwa sikuwa na taarifa na nilishakata tamaa, jamaa yangu ndiyo kanipigia simu hapa, nacheki majina ya tarehe 24, nimo, what a joyous moment.
Hongera sana mwamba.Namshukuru Mungu na wadau humu ndani, nimepata japo ni kichupa cha asali, lakini nina furaha.
Nilipitia ups and downs nyingi, ni takribani miaka 10, interview yangu ya kwanza nilianza pale utumishi ikiwa Dar, mitaa ya posta.
Nimepiga interview za utumishi kama 8, hivi, but now Mungu kaona ni wakati wangu rasmi.
Kikubwa sikuwa na taarifa na nilishakata tamaa, jamaa yangu ndiyo kanipigia simu hapa, nacheki majina ya tarehe 24, nimo, what a joyous moment.
Hongera sana brother..Namshukuru Mungu na wadau humu ndani, nimepata japo ni kichupa cha asali, lakini nina furaha.
Nilipitia ups and downs nyingi, ni takribani miaka 10, interview yangu ya kwanza nilianza pale utumishi ikiwa Dar, mitaa ya posta.
Nimepiga interview za utumishi kama 8, hivi, but now Mungu kaona ni wakati wangu rasmi.
Kikubwa sikuwa na taarifa na nilishakata tamaa, jamaa yangu ndiyo kanipigia simu hapa, nacheki majina ya tarehe 24, nimo, what a joyous moment.
Hongera sana kiongozi, ama kwa hakika muda wako umefika. kila la heri ukawe mtumishi mwema.Namshukuru Mungu na wadau humu ndani, nimepata japo ni kichupa cha asali, lakini nina furaha.
Nilipitia ups and downs nyingi, ni takribani miaka 10, interview yangu ya kwanza nilianza pale utumishi ikiwa Dar, mitaa ya posta.
Nimepiga interview za utumishi kama 8, hivi, but now Mungu kaona ni wakati wangu rasmi.
Kikubwa sikuwa na taarifa na nilishakata tamaa, jamaa yangu ndiyo kanipigia simu hapa, nacheki majina ya tarehe 24, nimo, what a joyous moment.
Hongereni sana Mkuu, kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaNamshukuru Mungu na wadau humu ndani, nimepata japo ni kichupa cha asali, lakini nina furaha.
Nilipitia ups and downs nyingi, ni takribani miaka 10, interview yangu ya kwanza nilianza pale utumishi ikiwa Dar, mitaa ya posta.
Nimepiga interview za utumishi kama 8, hivi, but now Mungu kaona ni wakati wangu rasmi.
Kikubwa sikuwa na taarifa na nilishakata tamaa, jamaa yangu ndiyo kanipigia simu hapa, nacheki majina ya tarehe 24, nimo, what a joyous moment.
Shukrani mkuu, nafurahi kusikia toka kwako.Hongereni sana Mkuu, kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
yah ni kweli hizi ajira ni kama kucheza chota mihela. 🤣 🤣Watu mnaokata tamaa mpewe motisha na hizi shuhuda Kila mtu atafikiwa
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Hili nilikuwa sijalijua mapemaHapa umesema mkuu,post yoyote hata kama nafasi imeandikwa moja, vijana tusisite kuomba
Sent from my TECNO LE6 using JamiiForums mobile app
Hongera sana mkuuNamshukuru Mungu na wadau humu ndani, nimepata japo ni kichupa cha asali, lakini nina furaha.
Nilipitia ups and downs nyingi, ni takribani miaka 10, interview yangu ya kwanza nilianza pale utumishi ikiwa Dar, mitaa ya posta.
Nimepiga interview za utumishi kama 8, hivi, but now Mungu kaona ni wakati wangu rasmi.
Kikubwa sikuwa na taarifa na nilishakata tamaa, jamaa yangu ndiyo kanipigia simu hapa, nacheki majina ya tarehe 24, nimo, what a joyous moment.
duuuhhSio system hakunaga cha system kuyumba wewe jiulize kwanini isiyumbe ikuandikie selected ukiwa umefeli kwenda oral?
Issue ipo hivi ukifaulu itakuwa selected for oral na selected for null umefaulu lakini usubiri data base na not selected hiyo baba jeni bye bye
Jikaze mtoto wa kiume Maisha lazima yaendelee nafasi bado zipo utapata mkuuJaman [emoji24][emoji24][emoji24] nilisubiria mda mrefu hvy bora ningejua mapema, nina maumivu makali had nashindwa kula
Umejuaje ni mtoto wa kiume?Jikaze mtoto wa kiume Maisha lazima yaendelee nafasi bado zipo utapata mkuu
Opposite poles of the magnet!!! (I'm just joking!!)Umejuaje ni mtoto wa kiume?