HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwa mtazamo wangu suala hili hukoma kwenye Oral invitation mana Kuna mtu wangu alialikwa Feb mwaka huu na hakwemda Oral lkn Hadi Leo Iko vile vile Selected for Oral ya kijani KIBICHII..🫒
Humu walishasema usilete habari za kuna MTU wanataka evidence ya mtu yeye kama yeye haya mambo ya kuna MTU humu washakataa
 
Kwa mtazamo wangu suala hili hukoma kwenye Oral invitation mana Kuna mtu wangu alialikwa Feb mwaka huu na hakwemda Oral lkn Hadi Leo Iko vile vile Selected for Oral ya kijani KIBICHII..🫒
huwa inapitia mabadiliko kadhaa achana na kubaki hivyo hivyo ukikaza ubongo ni sawa pia au ikuandikie not selected baada ya oral halafu usubirie pdf???
 
Hongera champ
 
Hongera champ
Honger Sana mkuu.shuhuda zenu zinatutia moyo Sana tunaoendelea kusubiri hizi placement
 
Mkuu naomba unieleweshe.... mtu amefanya oral na hajapata placement mpaka leo, ila account yake ya ajira portal inasoma "SELECTED FOR ORAL", je huyu anapaswa aendelee kusuburi au ndo imeisha hiyo.?
 
Mkuu naomba unieleweshe.... mtu amefanya oral na hajapata placement mpaka leo, ila account yake ya ajira portal inasoma "SELECTED FOR ORAL", je huyu anapaswa aendelee kusuburi au ndo imeisha hiyo.?
Haijaisha maana yake alifaulu oral ila kulingana na nafasi zilizokuwepo hakupata placement kwa hiyo yupo kwenye database. Hapo achague yeye aendelee kusubiria nafasi ambayo hajui itatoka lini au aendelee na maisha yake huku akiendelea kuomba nafasi zinazotoka.
Nb: haya ni maoni yangu kulingana na komenti za wadau wa humu, ukweli unaweza kuwa kinyume chake
 
Mkuu naomba unieleweshe.... mtu amefanya oral na hajapata placement mpaka leo, ila account yake ya ajira portal inasoma "SELECTED FOR ORAL", je huyu anapaswa aendelee kusuburi au ndo imeisha hiyo.?
Imepita muda gani kuanzia afanye Oral?
 
Mpaka sasa kitu pekee ninachoweza kushuhudia humu kama miongoni mwa tuliochangia uzi tangu mapema wakati unaanza anza, ni kwamba watu wengi wanaojitolea kuwapa wengine faraja au maelekezo ya nini wafanye kipindi wamekwama kwenye huu mchakato wa kutafuta ajira huwa na wao wanafanikiwa kupata ajira mapema sana.

Wito wangu ni tusichoke kufariji wengine na kuwakwamua wanaoleta michango inayohitaji msaada wa kimawazo, kuna namna tusizozijua hii kitu inalipa sana na haina hasara.
 
Hata mm nimeona Hilo,wachangia mada karibia wote washalamba asali
 
Hata mm nimeona Hilo,wachangia mada karibia wote washalamba asali
Huu uzi umebarikiwa endeleeni kuchangia mlambe asali,,,, serikalini kutamu haijaalishi umebahatika wapi kupata , serikalini sio kazi ya mchina au muhindi kuna nidhamu flani na heshima cha msingi hata kama una elimu ya kawaida ji upgrade uwe vyema zaidi, kuonekana jitihada yako serikalini ni rahisi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…