Hawa watu data base yao ni kuzidi kusogea mbele za Mungu neema ikushukie baada ya kutoka oral....Awe mpole mpaka mwezi Feb 2024 database ndio ina expire.
Hata mm nimeona Hilo,wachangia mada karibia wote washalamba asali
Subir zitatoka mkuuAjira za statistics naona ni kukavu kabisa aisee, muda sana hakuna tangazo la ajira zinazotuhusu statisticians
Muda sana mkuu.Subir zitatoka mkuu
Nazani wanachukua database mikeka kadhaa naona watu watakwimu wanakuwepo.Ajira za statistics naona ni kukavu kabisa aisee, muda sana hakuna tangazo la ajira zinazotuhusu statisticians
Naona wale wa Economics &Statistics wengi wamelamba asali.,Kama Afisa mipango,Wachumi.Ajira za statistics naona ni kukavu kabisa aisee, muda sana hakuna tangazo la ajira zinazotuhusu statisticians
Ili ni swala la muhimu sana....me nimechelewa kujua ili kwakwel...saiz ata iwe nafas moja tu naendaIli swala la kuhudhuria interview inabidi litiliwe mkazo hata kama nafasi ni moja make sure unaudhuria.
Imagine kada yako uwa haina nafasi nyingi alafu kuna watu kama 100 hivi waliofanya vizuri na wamehifadhiwa kwenye data base mpaka waje waishe itachukua muda.
Dah kuna jamaa ang kapata kakaa databse zaidi ya mwaka
Hongera sana kwakeDah kuna jamaa ang kapata kakaa databse zaidi ya mwaka
Inatia moyo kwakweli ingekuwa hivi toka enzi za kitenge wengi tungekuwa tupo asalini. Maana sasa wanachofanya ni kukomba data base kwanza mpaka waishe ndio watangaze ajiria nyingine labda tu hilo tangazo kama halina mtu database(waliopata 50+) ndio wanatangaza directPsrs saizi wanatisha sana pdf kila siku aiseee big up kwao classmates zangu nimeona wametoboa
Mbona zilitoka na sasa hivi wanaendelea kuchukua waliokuwepo database, kuna mshkaji namjua nae kapata mwezi uliopita tu. Tatizo mkiona imetangazwa nafasi moja mnaacha kwenda kufanya usailiAjira za statistics naona ni kukavu kabisa aisee, muda sana hakuna tangazo la ajira zinazotuhusu statisticians