Mwamba rinyungu
Senior Member
- Nov 4, 2022
- 195
- 525
SafiPsrs saizi wanatisha sana pdf kila siku aiseee big up kwao classmates zangu nimeona wametobo
Safi sana psrs ama kweli mnastahili pongezi.Psrs saizi wanatisha sana pdf kila siku aiseee big up kwao classmates zangu nimeona wametoboa
SafiPsrs saizi wanatisha sana pdf kila siku aiseee big up kwao classmates zangu nimeona wametobo
Safi sana psrs ama kweli mnastahili pongezi.Psrs saizi wanatisha sana pdf kila siku aiseee big up kwao classmates zangu nimeona wametoboa
Operation safisha database aisee tuzid kuomba munguPsrs saizi wanatisha sana pdf kila siku aiseee big up kwao classmates zangu nimeona wametoboa
Taasisi gnDah aseee nafikiri tutorial assistant hazina database wakuu tuliingia oral wawili nafasi ilikua moja mpaka leo kimya aseee
Aisee wasafishe tu mtu una oral 4 aisee uko tu kitaa 😩Inatia moyo kwakweli ingekuwa hivi toka enzi za kitenge wengi tungekuwa tupo asalini. Maana sasa wanachofanya ni kukomba data base kwanza mpaka waishe ndio watangaze ajiria nyingine labda tu hilo tangazo kama halina mtu database(waliopata 50+) ndio wanatangaza direct
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Usichek kuongea ni rahis san twende kweny vitendo sasMwamba kapotea gafla [emoji2][emoji2] alisema AICC ikitema atakuja toa ushuhuda hapa
matokeo yalitoka???Dah aseee nafikiri tutorial assistant hazina database wakuu tuliingia oral wawili nafasi ilikua moja mpaka leo kimya asee
Pole mwenzio atakuw ndo alilamba asaliDah aseee nafikiri tutorial assistant hazina database wakuu tuliingia oral wawili nafasi ilikua moja mpaka leo kimya aseee
We acha tu ,hizi course kilimo , accountancy ,record management kila off wamo mzee ,course nyingine sasa ni kisangaAfisa mifugo msaidizi kila PDF aise
Record naona wanaongoza duuhWe acha tu ,hizi course kilimo , accountancy ,record management kila off wamo mzee ,course nyingine sasa ni kisanga
Alipata jamaamatokeo yalitoka???
UdsmTaasisi gn
Nafasi 800 si mchezoWashushe mkeka wa CDOs hata page 50 hivi