HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hongera Sana mkuu,utukumbuke kwenye ufalme wako Wa ajira
 
hongera, ukawe mtumishi mwemaa
 
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mchapa kazi
 
Nawashukuru sana, wakati wa Mungu ni sahihi kabisa, mi nilifanya oral mwezi wa pili mwaka huu zile nafasi za mda na lga, status both selected for oral interview, kitaani tangu mwaka 2009, kwahyo msikate tamaa ndugu zangu, maombi yenu kwa Mungu anayasikia na muda ukifika utapokea kilicho sahihi.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 

Mkuu hapo umemaanisha 2009 au ni 2019? Yaani nimekusudia kuuliza umesaka ajira kwa miaka 14 au 4?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…