HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kwakweli tusikate tamaa ,mm mwaka wa tatu nshachoka kabisa
 
Zile itakuwa wanachukua database, kwahyo afisa shona suti nyeusi kabisa
 
Matokeo final ni ya Oral. Anayejua kama umefaulu au hujafaulu ni wakandaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…