Maana hata hiyo selected for oral sio guarantee kwmba ulifaulu na utapata kaziHahahaha one man down kwenye app ikiwa not selected for oral ujue mama jeni bye bye ikiwa selected for oral ujue Kuna tumaini fuatilia PDF.
naona kama tunataka kurudi kulekule. Hata IT mwenyewe kama simuelewi sijua kaja yule wa zamani๐ณ๐ ๐ kwa nini mkuu
InaMaana hata hiyo selected for oral sio guarantee kwmba ulifaulu na utapata kazi
Ipo SELECTED FOR ORAL Interview yaani hyo SELECTED Ina maneno ya Kijani For Oral ni NyeusiKwani kwako ikoje hiyo status tuanzie hapo kwanza
Relax subiria PDF upo sehemu salama.Ipo SELECTED FOR ORAL Interview yaani hyo SELECTED Ina maneno ya Kijani For Oral ni Nyeusi
Oral Interview ulifanya lini?Ipo SELECTED FOR ORAL Interview yaani hyo SELECTED Ina maneno ya Kijani For Oral ni Nyeusi
JanuaryOral Interview ulifanya lini?
Kwani mkuu hiyo not selected ilikuja baada ya ww kufanya oral?Lakini inatia moyo kidogo mwambie mtu ukweli Kama kujipanga upya aanze mapema
Ina
Subria pdf mkuu...kuna kupata na kukosa pia inatagemea na nafasi zilizopo na idadi ya waliofauluJanuary
Kwenye APP na Web au?Ipo SELECTED FOR ORAL Interview yaani hyo SELECTED Ina maneno ya Kijani For Oral ni Nyeusi
Anaongelea web mwambie hatupe majibu ya app pia.Ipo SELECTED FOR ORAL Interview yaani hyo SELECTED Ina maneno ya Kijani For Oral ni Nyeusi
IT katuzoesha bandika bandua dah ss leo siku 3 bila bilaMbona kimya sana kwenye placement ? , IT mzee wa flash shusha vitu bwana
Acha wasafish kwanza database wamalizie kbsa na waliofnya july na augustKuko kmyaaa.. Adverts?? Call for interview??
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Wenda IT wa bandika bandua alikuwa field, sasa kamaliza kawachia wenye kazi yao waendeleze majukumu๐๐๐๐๐๐IT katuzoesha bandika bandua dah ss leo siku 3 bila bila
Sijajua mkuu mi nilikuwa natumia web baada ya oral wiki kupita ndo nikadownload app ndo nikakuta iko vile not selected for oral kwa redKwani mkuu hiyo not selected ilikuja baada ya ww kufanya oral?
Pia APP Imeandika SELECTED FOR Oral InterviewAnaongelea web mwambie hatupe majibu ya app pia.
Upo njiani kulamba asali we relax tu soon jina lako lina appear kwa pdf zidi kuomba Mungu piaJanuary
Kwenye web ni SELECTED FOR oral interview Selected For ya web ni ya Kijani.Kwenye APP na Web au?