kitanywe 1
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 222
- 446
Hapana utapangiwa kazi za mkataba tu Nafasi za mkataba zikitokea.Hivi wakuu naomba kuuliza...ukifanya usaili kwa post ya mkataba kama hzi za juzi za tanroads unaeza ukapangiwa post ya kudumu kutoka database?
Duh sawa mkuu shukrn kwa muongozoHapana utapangiwa kazi za mkataba tu Nafasi za mkataba zikitokea.
Aisee wasiturudishe kule tulikotoka waachie mikeka yoteee watu walambe asali aiseeNgoja tuone leo pdf kama inaweza dondoka , walituzoesha aiseeh .
so poah mkuu,Aisee wasiturudishe kule tulikotoka waachie mikeka yoteee watu walambe asali aisee
kuna PDF TayariNgoja tuone leo pdf kama inaweza dondoka , walituzoesha aiseeh .
haiwezekan.Hivi wakuu naomba kuuliza...ukifanya usaili kwa post ya mkataba kama hzi za juzi za tanroads unaeza ukapangiwa post ya kudumu kutoka database?
π sawa mkuu acha tukomaehaiwezekan.
Polar dissolves polar, non polar dissolves non polarππ
hongera waliolamba asali.Kuna pdf huko
hhhhhhh muhimu kaka mi nachungulia mkeka naona hola tyuu. Ila muda utafika tyuu.π sawa mkuu acha tukomae
Nataman nilale usingiz nije nishtuke nikute yameshatoka tayar....patience is not for the weak kwakwelMwezi wa 7 ushaanza kutolewa so be patient
na wew ni mda na lgas e??hhhhhhh muhimu kaka mi nachungulia mkeka naona hola tyuu. Ila muda utafika tyuu.
Yan ila nahisi watatoa kidogo kidogo...kwamba watayatoa yote kwa mkupuo kweliKisha watushushie pdf la cdos kama page 50 hivi