Tupo pamojaAsante Mungu wangu nimekosa nafasi niliokua nasubiri, naomba aniongoze vema next time niweze kufanikiwa either kwa kufanya interview nyingine wakitoa au kwa kufanikiwa kwa mengine tunayopambana.. either ya yote namshukuru Mungu kwa uhai na afya njema.
Ni database mkuu?? AuYaaani IT wetu kaendelea kutukanda. Hongereni mliopata kwakweli
Hata sijui
Siku yako itafika tuyaani watu wanavolamba asali mpaka natamani niedit pdf nijipachike na mimi..
Hawa walitangazaga kazi za kujitolea mwaka jana April kupitia P.O.BOX....Waliopata kazi TBS wamefaidi sana kwa kweli,
Hamnaga huo utartbu mkuu...utartbu pira linaekwa kati pale cive,csbl,duce n.k mwenye kushinda anchukua kaziHawa walitangazaga kazi za kujitolea mwaka jana April....
Usikute ndo wamepata ajira moja kwa moja....
Kuna usili mkubwa sana unafanyika wafanyakazi kuhamishwa vituo walivyopo kwenda sehemu nyingine""Hamnaga huo utartbu mkuu...utartbu pira linaekwa kati pale cive,csbl,duce n.k mwenye kushinda anchukua kazi
Nafikiri Mh Raisi alikua anazngumzia nafasi za kuhamia sidhni kama ni hzi ajira mpya....anyway kwa bongo hii lolote linawezkna hatwez jua hata hawa wanaopta wote walifnya saili na wakafulu au ni mambo ya connection na mapandeKuna usili mkubwa sana unafanyika wafanyakazi kuhamishwa vituo walivyopo kwenda sehemu nyingine""
Note...
Mashirika yamekuwa ni sehemu ya kula raha, na ndio maana tulivyokuwa tunazungumza, Waziri wa Utumishi akasema; tunapozungumza mashirika haya, pale kwangu utumishi nina vita," amesema na kuongeza;
"Kila mtu anataka kuhama Serikalini kwenda kwenye mashirika, kuna nini? Marupurupu mazuri mishahara minene lakini hakuna tija kwa serikali, sasa hatuwezi kwenda hivyo ndugu zangu, lazima tubadilike.β
Mh. RAISI
πππ€²π€² mkuu hii taarifa njemaTBS Bado,,,,,,,
Necta
TAA
NGORONGORO
TANROAD
PSRS
Wizara ya mambo ya njee
Loading,,,,,,,,,,78%
But ni kutoka Databaseπππ€²π€² mkuu hii taarifa njema
Ndo huko hukooo mkuu tunasubriaa π π€²π€²But ni kutoka Database
Hongera sana ukawe mtumishi mwemaHatimaye namshukuru Mungu nimepata kazi leo, nimefanya interview mwezi wa sita mdas and lgas
Status selected for oral kwenye app
Hongera sana, yani tukiona hv nasi wengine tunaona siku yetu inakaribia, kila la kheri kwenye utumishi wakoHatimaye namshukuru Mungu nimepata kazi leo, nimefanya interview mwezi wa sita mdas and lgas
Status selected for oral kwenye app
Hongera sana,nakutakia kila lenye khery kwenye safari yako hii ya mafanikio.Hatimaye namshukuru Mungu nimepata kazi leo, nimefanya interview mwezi wa sita mdas and lgas
Status selected for oral kwenye app
Hongera sanaaaaaaaaaaaaaHatimaye namshukuru Mungu nimepata kazi leo, nimefanya interview mwezi wa sita mdas and lgas
Status selected for oral kwenye app