Rukundo JB
Senior Member
- Jan 30, 2019
- 156
- 387
Hata halmashauri sio mbaya champ kwa sisi tulio mtaani hatuna machaguzi zaidi ya kuchagua kitu kimoja jina kutokea kwenye placement issue ya wap au wap hatafikia hyo hali,daah wizara ya kilimo wamekauka sana aiseeh
TFRA
NFRA
ASA
NIRC
TARI NK WOTE WAMEKAUSHA, naziona halmashauri tu
Congrats, uliomba kada gani?Habari wadau, namshukuru Mungu na mimi leo nimepata placement kupitia database. Nilifanya written mbili mwezi Februari mwaka huu nikakandwa zote sikutoboa kuingia oral. Mwezi juni nikatinga tena Dodoma nikafanikiwa kupiga oral, zikatoka placement taasisi niliyopiga oral sikuwepo.
Leo nimefanikiwa kutokea kwenye mkeka. Niwatie moyo ndg zangu tuendelee kumuomba Mungu hakuna kukata tamaa naamini kila mtu atalamba asali humu. Huu uzi umebarikiwa sana, nilikua nikiona shuhuda humu zilikua zikinitia moyo na mimi siku moja nitatokea kwenye mkeka, hatimaye siku leo imetimia.
Status ni selected for oral both web na app.
Shukrani, Civil Eng. mkuuCongrats, uliomba kada gani?
Utaanza na salary scale nzuri compared to zile degree za three yrsShukrani, Civil Eng. mkuu
Hongera EngShukrani, Civil Eng. mkuu
sahihi mkuuHata halmashauri sio mbaya champ kwa sisi tulio mtaani hatuna machaguzi zaidi ya kuchagua kitu kimoja jina kutokea kwenye placement issue ya wap au wap hatafikia hyo hali,
Wengi ukisikia wanachagua sehem utakuta wapo NGO
ShukraniHongera Eng
Hongera sana mkuu ukawe mtumishi mwadilifu na mchapa kaziHabari wadau, namshukuru Mungu na mimi leo nimepata placement kupitia database. Nilifanya written mbili mwezi Februari mwaka huu nikakandwa zote sikutoboa kuingia oral. Mwezi juni nikatinga tena Dodoma nikafanikiwa kupiga oral, zikatoka placement taasisi niliyopiga oral sikuwepo.
Leo nimefanikiwa kutokea kwenye mkeka. Niwatie moyo ndg zangu tuendelee kumuomba Mungu hakuna kukata tamaa naamini kila mtu atalamba asali humu. Huu uzi umebarikiwa sana, nilikua nikiona shuhuda humu zilikua zikinitia moyo na mimi siku moja nitatokea kwenye mkeka, hatimaye siku leo imetimia.
Status ni selected for oral both web na app.
Hongera sana mwamba.Habari wadau, namshukuru Mungu na mimi leo nimepata placement kupitia database. Nilifanya written mbili mwezi Februari mwaka huu nikakandwa zote sikutoboa kuingia oral. Mwezi juni nikatinga tena Dodoma nikafanikiwa kupiga oral, zikatoka placement taasisi niliyopiga oral sikuwepo.
Leo nimefanikiwa kutokea kwenye mkeka. Niwatie moyo ndg zangu tuendelee kumuomba Mungu hakuna kukata tamaa naamini kila mtu atalamba asali humu. Huu uzi umebarikiwa sana, nilikua nikiona shuhuda humu zilikua zikinitia moyo na mimi siku moja nitatokea kwenye mkeka, hatimaye siku leo imetimia.
Status ni selected for oral both web na app.
Ahsante sana mkuuHongera sana mkuu ukawe mtumishi mwadilifu na mchapa kazi
Ahsante sana mkuuHongera sana mwamba.
Hongera mwambaAhsante sana mkuu
Hahahaha sawa jobless pro maxSiku moja.
Nikiwa kazini nakutana na missed call kama 10 hivi na message kama 8.
Simu nilikuwa nimeicha mezani kutokana na kazi yangu ninayoifanya hainiruhusu Sana kutumia simu.
Naenda kwenye sms nakuta jamaa yangu mmoja ameniandikia Hongera Sana.
Sms ya pili ni kadada kamoja nilikutana nacho psrs nacho kananiambia hongera rafiki nimeliina jina lako Moja ya taasisi.
Ninaamua niachane na kusoma sms nijaribu kupiga simu kwa rafiki yangu mmoja aliyelamba asali tayari moja ya taasisi kubwa nchini nakuta simu.inatumika.
Tusichoshane naingia kwenye browser naadika ajira portal na check Majina ya walioitwa kazini siamini macho yangu naona jina langu limeeandika kwa wino mweusi herufi kubwa na barua ikinitaka nikachukue barua siku 14.
Moyo unalipuka na furaha na machozi.
Nikikumbuka mateso na machungu ya kutafuta ajira.
Gharama nilizitumia kwenda dodoma kuna muda nalala kwenye mabar siku moja kabla ya interview.
Aisee...Hii ni story nimejaribu kutunga siku nitakayoajiriwa.
Mm nasubiri kuitwa kazini siku sijui wala mwaka na saa.
Ahsanteni.
Mimi sio jobless nafanya kazi sehemu nzuri tu.Hahahaha sawa jobless pro max
Hahaha aisseeeSiku moja.

Ss hiyo stori ya furaha kubwa ya nin mkuu ikiwa una kz nzuro tu?Mimi sio jobless nafanya kazi sehemu nzuri tu.
Sema nataka niingie serikalini tu kwa sasa.
Kumejaa kwa Sasa🤣🤣🤣Mimi sio jobless nafanya kazi sehemu nzuri tu.
Sema nataka niingie serikalini tu kwa sasa.
Nimeshafanya kazi private nimekuchoka.Ss hiyo stori ya furaha kubwa ya nin mkuu ikiwa una kz nzuro tu?